Lotion/Mafuta mazuri ya uso

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Na weza kuingia dukani nika baki na ng'aa ng'aa macho nashindwa ni nunue ipi hapa?? Mwisho wa siku na ambulia patupu.

Labda niulize ni lotion/ mafuta gani ya uso?

Walau uso ungae vizuri naku baki na rangi Yake asilia?

JINA LA LOTION AU MAFUTA... Ya kike na kiume.

Wengine mna waume/ boyfriend zenu mna fahamu lotion zipi zina wapendezesha nyuso vivyo hivyo kwa wanaume wenye wake/ girlfriends


Hata majina ya lotion / mafuta.......
 
Kuna NOVAGE BRIGHT SUBLIME,hii ni set ya cream na cleanser ya uso kutoka ORIFLAME ,ni set ya jumla ya vitu 6 inakufanya kuondoa mabaka na madoa yote kwenye uso kukufanya ungae na kuoendeza kwa kubak na ngoz yako ya asili

Kuna NOVAGE ECOLLAGEN toka ORIFLAME hii pia ni set ya product 6 ambayo inaondoa makunyanz na mikunjo uson na kungarisha uso

Kuna ESSENTIAL FAIRNESS CREAM, hii pia hungarisha uso toka ORIFLAME

Kuna OPTIMALS DAY AND NIGHT CREAM,
hii hupunguza na kuondoa madoa meusi kwenye ngoz yako na kukupa mngao wa asili

Kuna products za SILK BEAUTY ,ambayo inajumuisha Body lotion na body wash ambazo zinangarisha ngozi yako zote toka ORIFLAME

KARIBU ORIFLAME KWA BIDHAA BORA ZITOKANAZO NA TECHNOLOJIA YA MIMEA NA MATUNDA HAKIKA HUTOJUTA KUTUMIA
 
Ukitaka kubaki na rangi yako ya asili nunua NIVEA
 
Minara au parachuti natumia japo am oil skin type
 
Mimi nafikiri aina ya ngozi yako ita determine aina ya mafuta utakayotumia.
Kitakachomfaa mwingine sio kitakachokufaa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…