Lotion/Mafuta ya kupakaa kwa mwanaume sehemu zenye baridi

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Wadau habari zenu,
Naomba msaada kwa anaejua lotion/mafuta yatakayomfaa mwanaume ambae anaishi sehemu zenye baridi, maana hufifia sana rangi na kubadilika kuwa mweusi sana sehemu zilizo wazi(usoni na mikononi) badala ya kubaki na rangi yake ileile ya uweupe kiasi.

Kama kuna msaada mwingine tofauti na mafuta/ lotion itakuwa ni jambo jema pia.

NB: Sehemu za wazi ndio zinaathirika zaidi.
 
Lengo langu ni kubaki na rangi yangu, mikono na uso kuwa na rangi nyingine then tumbo rangi nyingine inaniboa....ingekuwa opposite watu wanaweza kudhani unajichubua
Anhaa kumbe...onana na wataalamu wa vipodozi wakushauri mkuu
 
Johnson baby jelly
 
Lanolin,Emu oil,Goat milk cream/lotion, unaweza pia kuongeza glycerin kwenye lotion unayotumia sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…