Nzotu
Member
- Jan 22, 2018
- 41
- 55
Habari wakuu ...tujadili utunzaji wa ngozi ya miguu na mikono nimewahi sikia kuna special lotion kwa ajili ya ngozi ya miguu na mikono ila sijawahi tumia....
Tujuzane hapa unatumia Mimi kutunza miguu yako na mikono iwe ya kuvutia nayakupendeza....hii ni kwa wale ambao wanatumia lotion maalumu kwa ajili ya miguu or mikono
Inawezekana ukawa unatumia lotion yako nzuri tu na inakupa matokeo mazuri mpk unajitamani👌
Ila ngozi ya miguu yako or mikono ikawa kikwazo labda sugu or ngozi ngumu,makovu....nk...
Unatumia nini unafanya Nini kuimarisha ngozi ya miguu na mikono👇👇