bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 496
Wanajamvi naomba mnisaidie nataka kujua kama Lotus amesharejea Dar es salaam au bado? Kwa mwenye taarifa naomba anipe maana nataka nikamfanyia mahojiano binafsi nijue kule BBA alikuwa akijiwakilisha yeye ama alikuwa akiwakilisha wanawake wa Tanzania ama alikuwa akituwakilisha watanzania wote. Nisaidieni kupata taarifa hii tafadhalini sana.