Ukiisikiliza hii ngoma imekaa poa sana kijana kaimba vizuri na beat iko poa sana, na zaidi video yake iko fire sana.
Sometimes unafikiria kama chibu au Harmonize wangepewa hii beat basi wangeweza kufanya kitu zaidi. Ushauri wangu amtafute mmoja wao waikuze zaidi ngoma yake imfikishe mbali zaidi.
Just ushauri. Uzi tayari