Louis II Ulimponda Samata Hebu Jitokeze Ubaoni

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kuna uzi ambao bado una hang hapa ubaoni uliowekwa na ndugu yetu aka Louis II kua mbwana Samata kijana wetu anaecheza huko belgium ati hana lolote na kwamba ati anabebwa na bahati tu ! Hakuishia hapo akazidi kumponda kua uwezo wake hata Emmanuel Okwi wa simba yupo juu..
Sasa Leo hii Jumatatu ya tarehe 24 katika ligi kuu ya belgium mchezaji anaeongoza kwa ufungaji ni Kijana wetu Mbwana Samata, anaongoza kwa kufunga jumla Ya goli 14 na anaemfuata ana goli 11..
Sasa Ni wakati wa ndg ulietoa post île umuombe radhi samata na sie watanzania iwe fundisho kwetu kwamba tusipende kujidharau, kujishusha.. Hasa inapofikia suala la kimataifa
Hongera Mbwana Ally Samata... Hongera Sana...
 
Naona ameingia mitini
 
Yule jamaa ni yanga damu! ana msongo wa mawazo!!!! Maana Mnyama anatakata kinyama kila kona.
 
Back
Top Bottom