Louis van Gaal has been dismissed from his role at Manchester United

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Manchester United have sacked Louis van Gaal just two days after the Dutchman led them to victory over Crystal Palace in the FA Cup final.

Van Gaal has been made to pay for United's poor Premier League campaign and will be replaced by former Chelsea boss Jose Mourinho.



His Dutch coaching staff - including United assistant coach Albert Stuivenberg and goalkeeper coach Frans Hoek - have also left the club with immediate effect
============
From Sky Sports

Manchester United will make a statement regarding Louis Van Gaal's future at 1pm UK Time
 
Baada ya kukaa kwa miaka miwili kocha Luis Van Gaal ameshindwa kumaliza mwaka wake uliosalia huku taarifa za ndani zikieleza kuwa kocha msaidizi Ryan Giggics naye amepoteza kazi yake.

Van Gaal aliyewasili leo katika uwanja wa mazoezi Carrigtton aliandamana na Mwanasheria wa mambo ya ajira na mpaka sasa ameshapoteza kazi yake.

Manchester United wanatarajia kutoa taarifa ifikapo saa Tisa alasiri leo.
 


writting was in the wall.. everybody new and he new it
 
The wait is over
 
KAZI ANA PEWA MOURINHO TUTEGEMEE BUS PARKING NDANI YA MANURE

Mkuu wangu hili lipo wazi kabisa nashindwa kuelewa ni kwanini mashabiki na wapenzi wa MAN UTD wanajifanya hawaelewi.Mipango ya Mourinho siku zote ni mpira wa defensive not attacking hata siku moja.

Madogo wengi ujio wa Mourinho utakuwa mwisho wao nashangaa sana madirector wa Man united hilo hawakuliona.Ikiwa Van Gaal wameamua kumwacha basi Giggys angepewa mikoba na si mzee wa kupaki bus.
 
Cheza na data

Pale spain hadi leo rekod ya madrid kumaliza na magoli mengi haija vunjwa, aliweka mourinho

Jarbu kichunguza data, ndio lita pakiwa ili timu ishinde

#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…