Hakuna kitu pale4G platnum
Mmh kaongo wewe!Bby usifanye hivo bhana
Hujui nakupenda Sana
Naona unafahamu viwanja vyote kipi kizuri kipi hamna kitu😀😀 afu unajiita mstaarabu 😀Hakuna kitu pale
Bby karibu Dom kuna sehem ntakupeleka uta enjoy SanaNaona unafahamu viwanja vyote kipi kizuri kipi hamna kitu[emoji3][emoji3] afu unajiita mstaarabu [emoji3]
Nazungumza kutoka kwenye sakafu ya moyo wanguMmh kaongo wewe!
Sawa ntakuja kuangalia huo ustaarabu wako😀Bby karibu Dom kuna sehem ntakupeleka uta enjoy Sana
Ondoa shaka kabsaa kuhusu ustaarabu wangu
Ukikuta mi sio mstaarabu unaondoka bby
Njoo waswanu [emoji4]
[emoji108][emoji108]kabisaaapate na kitimoto safi sio
Yap Jana nilikua royal village nilipenda band ya bushoke pazuri sana[emoji3059][emoji3059]Royal village
Hapa niliambiwa but siku iliishia royalFika Bambalaga mkuu
Aaahh wewe ebu mara moja moja bhanaMambo haya wengine yametupitia kushoto.
Morena Jana nilienda palikua chai chai tuNenda Morena
Hapo ninsehemu gani ila dodoma kuna baridi usiku alooo[emoji849][emoji51][emoji51]Njoo waswanu [emoji4]
Uzunguni mkuuHapo ninsehemu gani ila dodoma kuna baridi usiku alooo[emoji849][emoji51][emoji51]
Leo nitaenda hapoPestana, I recommend this