Naomba uzoefu wako...he he he...
Kuna wanawake wengine akimtaka mwanaume anatafuta kisa cha kuanzisha ugomvi nae!!!
<br />Ya leo kali, huyo mwanamke atakuwa ni wa kutoka mkoa wa Mara, au? Katika umri wangu, hii ndiyo naisikia leo!!!
is a tricky question.na sijui nikujibu vipiWe ukimtaka mwanaume, ambaye unadhani hamko karibu kiviile, uanmwambiaje?
<br />Mimi nikimpenda mtu namwambia live aaah
mie mbona ujaniambia live sasa ,au kuniambia unanionea nomaMimi nikimpenda mtu namwambia live aaah
NN
nlikuwa nakutafuta ..
Umenipata sasa....mambo vipi?
safi tu ..
tunaweza kwenda nyanda za juu kidogo..
Huyu lazima atakuwa mwanamke wa KikuryaKuna wanawake wengine akimtaka mwanaume anatafuta kisa cha kuanzisha ugomvi nae!!!
......
Hamna noma