Wajameni sasa sisi wengine ambao hatuwezi kuzisoma hizo signs/body languages za wadada inakuwaje hapa? Personally, I don't mind mdada akinitokea na kuwa straight forward. Haya mambo sijui ya kung'ata ama kulamba kalamu mie nitajuaje kama ndo natakwa?
Basi kuanzia sasa nitaangalia kazini nikiona mtu analamba pen basi nitafanya utafiti. Lol!!