Love Calculator

Haa haaaa! MashaJF umenikumbusha mbali kweli, kuna mtoto nilikuwa nimepiga sound hadi zimeisha ameng'ang'ania kuwa wanaume waongo. Siku ya siku nikambana kuwa tufanye kipimo, kucheki 90 na kitu! Yaani alilainika bila kujijua..

Safi sana. Me and my wife we get 86% wow.

Kuna demu nataka kumtokea imeleta 82% inaniakikishia ushindi wa kishindo.nauakika nikpata namba yake kaz yangu itakuwa siku ya kwanza tu pambano litakuwa limekwsha

<br /
Dont raise your hopes usije ukawa disappointed.

Ok, sasa nimehakikisha. Nilishani tunapendana kumbe tunazugana tu. Kalukuleta imeleta below ten... ngoja nisepe

Wawooooooooo! Junior and gift =90%! Halafu eti "that is great chance both of you still have to work hard on it"

acha niongeze maujanja!

Nimepata 26% kuna mkono wa mtu hapa.

Da nimejitaidi,ts negative 11%,ndo ma gal ananpenda,mi nampenda kwa oohoh..negative 6%,,,,yan hapoo kila m2 nalakee lakin wakiombana sex,wanachangamkiana ucpime

unataka nife kwa presha wakati najua bibiako annipenda.........lol

Haa haaaa! MashaJF umenikumbusha mbali kweli, kuna mtoto nilikuwa nimepiga sound hadi zimeisha ameng'ang'ania kuwa wanaume waongo. Siku ya siku nikambana kuwa tufanye kipimo, kucheki 90 na kitu! Yaani alilainika bila kujijua..

Safi sana kaka!!!

tobaaaa! Ninavyokupenda hivyo tumepata 42%

Angalia utabiri kutokana na majina yenu namna gani mnafit kwenye mahusiano

Love Calculator

Angalizo: Just for fun don take it seriously!!!

Daaaah!!kama ina ukweli hivi!!maana na x-gf nimepata 12%,lakini na nilie nae sasa ambae tunatarajia kufunga ndoa soon nimepata 74% mmmhh!yawezekana but nakubali just for fun!!!!!!!!!!

Simple. Ukiona umepata sifuri, twist majina kidogo, kama uliweka mawili ongeza na la tatu, uone utakavyo pata nyingi.

ngoja nijaribu tena, nikipata ndogo naenda kuanzisha bifu kwa mchumba.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…