Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Wana jf.
Mwanzoni nilikuwa mbishi wa kuamini kama hii page inaweza kuunganisha watu lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mfupi nimeshapata watu watatu hapa mjini kwangu waliounganishwa na mmoja tumekula harusi yake last December. Pia nimegundua kuna watu wengi hapa ambao ni proffesional na wanaojiheshim na wapo serious kutafuta true love japo wapo pia serengeti boys wengi sana humu. Kwa wadada; nahisi kijana wa kiume aliyefikia umri wa miaka 30 na kuendelea anaweza kumaanisha maelezo yake kulicho umri chini ya hapo japo umri sio kigezo pekee...
Kama upo single na unaona sasa unavigezo vya kubadilisha status yako, usisite; weka tangazo hapa ukitoa wasifu wako na sifa za mtarajiwa "if it works for other it can work for you"