Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Jamani kwa nini wanawake wa madereva wa malori hawatulii kuna jamaa yangu huwa anasafiri Zambia sasa siku moja alimuaga mke wake kuwa anasafiri lakini hapo nyumbani kuna mwanaume anakuja nyumbani kufanya yake wakati jamaa akiwa safari alipata taarifa kutoka kwa majirani wa karibu siku ya siku akarudi usiku bila kumpa taarifa akamfumania mke wake na jamaa.