Anything mentioned exists.... even if it is just in the form of words..... lol
kwa hiyo kichopo baina ya mpenzi wako na wewe ni nini
kwa hiyo kichopo baina ya mpenzi wako na wewe ni nini
People don't fall in love...people get "over-comfortable" with someone they are around with. It is the adherence they offer to someone they share common interests
What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security.
Love is a perfect state of attitude/feelings towards someone. So to expect love is to expect unexpected. No one has ever seen and/or experienced the perfect of anything.....not even parent-child relationship has ever reached the perfect state.
So quit lying yourself....love doesn't exists!
Don't be stupidy. We ulizaliaje? Mama ako alilazimishwa au alimpenda dingi? Au alikua anatkata fedha za mshua?
@thread poster; Something doesnt make sense.
Matatizo we hujui unaonge nini, sijawahi kusikia hakuna love duniani...Love ipo utake usitake na itakuwepo, acha kutudanganya hapa, sisi sio watoto tunao kula cornflakes.
Kabisa kabisa wewe hujui unaongea nini kuhusu love, I have learned siku nyingi sana kwamba true love is found inside yourself.Labda tuseme ni kweli mimi sijui ninaongea nini.....
Kwa mtazamo wako wewe, what are love indicators? Ni vitu/vigezo gani vinaweza kukuashiria ya kuwa "hewalaaa..this is love?"
Kabisa kabisa wewe hujui unaongea nini kuhusu love, I have learned siku nyingi sana kwamba true love is found inside yourself.
Sasa wewe anza kwanza kujiamini mwenyewe kama unajipenda, usipo jiamini wewe kama unajipenda....Ni vigumu sana kupenda wengine, na kupendwa na wengine :violin:
Be gentle with yourself always kumbuka wewe huwezi kujibadilisha ndo mungu alivyo ku umba, si unaona wewe mpaa unataka kushindana na mungu sasa alivyo ku umba...Sijui unataka kujibadilisha sijui nini, wewe lazima ujipende wewe mwenyewe kwanza kabla hujapenda wengine, au kupendwa na wengine.Fazaa,
Can you honestly claim that you have a perfect state of attitude towards yourself? Hakuna kiungo cha mwili wako ungependa kiwe tofauti na kilivyoumbwa? Toes? Your butt shape? Your stubborn attitude? Vipi kuhusu height yako?
No one loves self. Tumelazimika kukubali matokeo kwa sababu hatukushirikishwa kwenye kikao cha uumbwaji wetu. When one of your father's naughty soldiers squeezed itself into one your mother's precious eggs, you were conceived. Thereafter, you were left to deal with every attribute that was assigned to your persona.
By the way, hujajibu swali langu? Indicators za love ni zipi?
Alter ego, nipe link tafadhali...Nimeona B'... we Mkaree... hivi mpaka u Love?? Kwa mfano mimi ambae twaivana huwezi nisaidia na mimi yale mambo? lol