Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
ooohh dear
kila kitu tukifayacho dunia hii ya sasa
ni RISK ..
lakini binadamu kama binadamu twapenda kujaribu..
saa nyingine twapanda
saa nyingine twashuka
saa nyingine hata nusu hatufiki..
lakini siku zinaenda.
time is the answer for every thing my dear..
umeshanianzia kwa mashairi tena? duh kweli tunapanda na kushuka jamani, mili twapita ila mimi kamwe sijawahi komea katikati lazima nimalize tuuuu hata kama ni marathoni itamalizwa tu, ila kuna mitu haitaki kuamini mapenzi ni kurisk eeeehhhh?wengine hupenda hata inayojiita miplayer eti HB au muuza sura kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..................kaingia kile cha nini vile?Nitakujibu kesho kivyako kama ulonijibu mama nikusooth roho yako au sio?leo na home work na Kigori si unajua tena?
hahahahah lol
Magulumangu wewe.
mie mashairi sijui na siwezi my dear..
kabla sijaendelea umempeleka wapi yule mtoto mzuri..
anae endesha gari na anaile kitu mdomoni (dami) hahah lol
nway mapenzi ni kitu cha RISK sana my dear..
ila unajua ndo mmkekutana ile mara ya kwanza ..
raha mnazopeana, maneno matamu mnatupiana
chumbani mnabebana, bafuni mnaogeshana
njiani mankumbatiana, baharini mnagusana
mmmhhhh ndo maana RISK huoni wala husikii..
ngoja vitu vigeuke ..
hapo ndo upande wa pili wa kila mtu utajitokeza..
The more u take risk the more u get success
Give love to receive love by AD!
Wakuu kila mmoja wetu hapa amewahi kupenda au kupendwa kama hajapendwa au kupendwa basi yuko kwenye mapenzi tayari lasivyo soon au later atakuwa na mpenzi kama si hivyo anafikiria ipo siku atakuja kupenda au kupendwa au la atakuwa kwenye mapenzi, Swali jiulize wewe mwenye mpenzi,unayetegemea kupenda au kupendwa, Kupenda ni RISK tena kubwa na ngumu kuepukika....nani anapinga au kuniunga hoja yangu, jiulize kwanza jinsi ulivyompata huyo mpenzi wako na definition ya RISK then argue with me...
Give love to receive love by AD!
Mhhhhhhhhhhhhhh Give love to get love?Proved au ndo iko kwenye mchakato? maana mafataki hapo sijui na wao hutoa love kuipata hiyo? Nitamuuliza mwenyewe AD....vipi lakini weye umetoa love to get it? mie nimerisk to get LOVE and she risked too so we both got LOVED..
Kumbe nawe unaipenda hiyo eeh!? Basi tuko wengi.
mmmhhhHAPO UMENENA :clap2: ....KUMPENDA MTU NI KAMA KUTEMBEA NA BOMU AMBALO HUJUI LITALIPUKA MUDA GANI.