Love is Blind

Love is Blind

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Love is blind, just be blind if you want to conquer someone's heart
 
Fukia kichwa shimoni kama mbuni aliyechoka...?!!ngumu hiyoo...
 
This is not true. Love is not blind. It has two good eyes but what happens when you love someone ni kuwa unakuwa tayari kuchukuliana na udhaifu wake. Sio kwamba udhaifu hauuoni; bali unauona lakini unaamua kuchukuliana na mtu uliyempenda. Ndo maana upendo wa mweli ndo msingi imara wa ndoa maana kila mtu anayo mapungufu. Lakini ukimpenda mtu kwa dhati utakuwa tayari kuchukuliana na mapungufu yake
 
LoVe iS bLiNd AnD iT'LL tAkE oVeR yOuR miNd,
WhAt YoU tHiNk iS LoVe iS tRuLy NoT, YoU nEeD tO eLeVaTe AnD FiNd
This is not true. Love is not blind. It has two good eyes but what happens when you love someone ni kuwa unakuwa tayari kuchukuliana na udhaifu wake. Sio kwamba udhaifu hauuoni; bali unauona lakini unaamua kuchukuliana na mtu uliyempenda. Ndo maana upendo wa mweli ndo msingi imara wa ndoa maana kila mtu anayo mapungufu. Lakini ukimpenda mtu kwa dhati utakuwa tayari kuchukuliana na mapungufu yake
 
Love is blind marriage is an institution for blinds where by a man loses his bachelor degree and a women gets her masters degree

Love is a process and not a destination
 
Mke wa jirani yangu kaenda kulala kwenye kampeni, lakini mi nilikutana naye bar fulani saa tano kasoro usiku akiwa amelewa na kukumbatiana kimahaba na jamaa mmoja mwenye shati la kijani.
Sijui mwenye mali angemkuta maeneo yale hali ingekuwaje
 
and because love is blind and we cant make rational decision then we should be ready to divorce. Ni suala la kuoa au kuolewa kwanza. ukigundua ile blindness yako ilikupeleka pabaya, divorce haraka sana. dont accept suffering in the name of mariage
 
Vunja Ukimya mjomba, ongea na wako. Usipo ongea naye majirani watamuongelesha, hapo sasa ndio miuzozo inapoanza
Kiranja naona umeamua kutoka na staili ya "kwa hisani ya watu wa Marekani"
 
niliona kamsemo haka sehemu fulani "love is blind but marriage is an eye opener" ,so , kama unahisi tayari ushakuwa blind wewe tangaza ndoa tu ,upofu utapona na utaona kuliko microscope
 
Back
Top Bottom