Love is not fair

Love is not fair

escober

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
391
Reaction score
98
huu ni utafiti wangu binafsi lakini una nafasi ya kuupinga au kuunga lkwa hoja.
watu wengi wanateseka sana na mapenzi na unakuta mtu anampenda sana mtu ambaye hampendi na anaishia tu kuumia na utakuta mtu huyo huyo anapendwa na mtu ambaye yeye hampendi na anaishia kumuumiza. Na nimegundua kuwa ni vigumu kumpata mtu ambaye mnapendana sawa lazima mmoja atampenda mwingine zaidi.

swali. utamchagua nani kati ya hawamtu anaye kupenda na wewe humpendi au utamfuata mtu ambaye unampenda na yeye hakupendi.
 
Back
Top Bottom