Love logic.

Love logic.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Umetokea kuwapenda watu wawili kwa wakati mmoja?.No,haiwezekani kwamba unawapenda wote,kuna yule wa kwanza kupendwa na wa pili kupendwa.Ninakushauri uwe commited kwa huyu wa pili kumpenda,yule wa kwanza achana nae.Ni hivi,kama ulikuwa na mapenzi ya dhati kwa yule wa kwanza basi usingempenda huyu wa pili.Therefore huyu wa kwanza ulikurupuka kumpenda na yule wa pili ndiye unampenda haswaaa.
 
1.huyu wa pili kamzidi mkwanjwa yule wa kwanza
2.Huyo wa kwanza ulimkubali kwa kuwa ulikuwa umeachika na uliitaji kampani ya haraka
3.u r a bitch

(haiwezekani uwe na umpendaye hapo hapo uanze kumpenda mwingine)
 
Simply ni kwamba nature ilikosea.

Ilitakiwa kwamba ukisha penda mmoja , basi Moyo uwe una'seal kabisa 'air-tight' ili usiweze kupenda mwengine, hata akiwa na mkwanja, akipaka Betacot-N na Carolite, au akijipitisha mara nyingi vipi!.

Lakini kwa kuacha hivi ilivyo, kazi ni nzito kidogo...utaupangiaje moyo?!
 
mmh kweli jf kitchen party nyingi za kutosha
 
Simply ni kwamba nature ilikosea.

Ilitakiwa kwamba ukisha penda mmoja , basi Moyo uwe una'seal kabisa 'air-tight' ili usiweze kupenda mwengine, hata akiwa na mkwanja, akipaka Betacot-N na Carolite, au akijipitisha mara nyingi vipi!.

Lakini kwa kuacha hivi ilivyo, kazi ni nzito kidogo...utaupangiaje moyo?!

tungefanya maandamano mpaka mawinguni....babel tower ingekuwa cha mtoto.......he!

love is too complicated to follow any scientific logic
 
Wa kwanza umempenda while wa pili umemtamani....i stick to loving the first one....! Lust and love are two different things!
 
Back
Top Bottom