Love me the way I am

Love me the way I am

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Love me the way I am. Ni sentensi moja ya kipumbavu sana, wanawake wanatumia hasa pale akijua ana tatizo na hataki kulitatua.

Kuna situation hiyo statement inaweza kua na mantiki mfano una chongo, au ulemavu wa aina yoyote ile ndio unaweza mwambia mtu love me the Way I am.

Ila kama unamatatizo ya kitabia kama ugomvi, kiburi, dramas, kaa chini yatatue matatizo yako na sio watu kuishi kukulea kama yai hali ya kua unawaumiza na tabia yako.

Angalia mahusiano yako ya awali yalivunjika kisa nini and avoid hii kitu "Love me the way I am" kama una tabia unaweza ibadilisha badilisha usitegemee mtu akuvumilie tu daily atachoka.

Kama ni mwanamke utatumika sana ukiendelea kusubiria huyo mjinga mmoja atakaekubali kulea huo uzembe. Na daily utabaki kulaumu kua unachezewa.

Wanaume wanataka peace of mind before committing to a marriage, most women mpo vice-versa.​
 
Kuna nyimbo ya Hemed PHD - Love me the way I am

Nikipata nitautupia unaweza kukutoa tongotongo
 
Back
Top Bottom