LOVE & MURDER PROBE IN KENYA

LOVE & MURDER PROBE IN KENYA

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Habarini za jioni wadau, ktk kufuatilia makala kadhaa za kipindi cha runinga flani ya Kenya ktk kipindi kinaitwa CASE FILE nimegundua kumekuwepo kwa kesi nyingi zinazo husisha mauaji baina ya wapenzi au yanayohusisha migogoro ya kimapenzi na ktk makala niliyo tazama wanawake wamehusika ktk kukatisha uhai wa wapenzi wao au mwanamke kumurder mwanamke mwenzie. sasa ktk hili nikakutana na story ya mrembo RUTH KAMANDE huyu mrembo ali murder boyfriend wake wa kuitwa Farid kisa eti alimkuta jamaa anakadi kama ametoka kupima HIV na akagundulika ni po+ bas wakaingia ktk mgogoro then Ruth akamdunga Farid bisu mara 22 . ruth alitwaa taji la mrembo wa gereza la Lang'ata na mwaka 2018 alihukumiwa hukumu ya kifo

Majauzi tena yamezuka ya akina Judy na marehemu Mary so it seems in Kenya love is a battle either one's love or die (tazama picha ya Ruth Kamande. attachment )
View attachment 1026497
 
I like the fact that you watch our channels.......We can only widen our market
 
Back
Top Bottom