LOVE story..................Nani hunufaika sana na mahusiano.....(Me or Ke)

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Wana MMU,Embu Tujadiri katika mahusiano yetu ya kimapenzi na lazima mmoja atakuwa ana gain zaidi ya mwingine,au atakuwa ni mfaida mkubwa sana ....

kwa upande wangu mimi kwakweli naona dada zetu wanafurahia na kupata faida kubwa sana,faida kubwa hapa nayo iona ni zile proteins wanazopata kutoka kwetu.

zingine wadau mtaongeza.
 
Wote wote wanafaidi...
Kwani wewe hufaidi unapoingiza hiyo kipara yako kwa ile kipochi manyoya...?
 
Sioni cha kujadili hapo; labda iwe chit chat!
 
Wote wote wanafaidi...
Kwani wewe hufaidi unapoingiza hiyo kipara yako kwa ile kipochi manyoya...?

sifaidi kitu hapooooo...hata kama nafaidi ni kwa uchache sanaaa....ngoja waje wata tuambia
 
Mkuu huwezi juwa kuwa nao wanafaidi kama wewe au la!
Maana ni vile tuna jinsia moja..so is not easy to feel on the other side.
We semea kwa upande wako..
Labda kikubwa unachoweza kusema nami nikakubaliana na wewe ni kuwa,wanaume huwa ndo tunatoboka mifukoni mara nyingi.
 
mi sijamsemea mtu nimejibu kama ulivyo uliza...wadada watasema wenyewe wapi firstlady,madame B shemejiiii,madame x,etc
 
Wana MMU,Embu Tujadiri katika mahusiano yetu ya kimapenzi na lazima mmoja atakuwa ana gain zaidi ya mwingine,au atakuwa ni mfaida mkubwa sana ....

kwa upande wangu mimi kwakweli naona dada zetu wanafurahia na kupata faida kubwa sana,faida kubwa hapa nayo iona ni zile proteins wanazopata kutoka kwetu.

zingine wadau mtaongeza.
kama vipi na wewe hamia uko upate hiyo faida au kubali masaburi yafanyiwe kazi upate hiyo faida
 
Back
Top Bottom