Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi
1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini
2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu)
#upambanaji mwingi
3. Black(weusi)
Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk).
Kwa maana mpaka naandika uzi huu ubao kwangu unasoma bilabila na bado kurasa 3 tu. Niingie 3rd chapter
Na kiukweli nimequit mahusiano ila nikipiga mahesabu naona natengeneza bomu kubwa sana uko mbeleni
Uzoefu sina kabisa maana sijawai attempt nikakubaliwa mpaka sasa nimekataliwa mala 47 nihatari toka sekondari ni spana tu mpaka leo.
Natamani nijifunze kutoka kwenu ili nijirekebishe inawezekana mimi ndio mwenye matatizo na siyaoni.