Love story of short broke black man

Ukisema pesa i earn twice or more kuliko ninao waapproach
Puuza huo ushauri wa pesa mkuu, utapigwa hela zako zote zitaishia kuonga ushindwe kufanya mambo ya maana. Jipende( kuwa smart kuanzia mavazi, usafi, nywele, ndevu, manukato n.k), achana na slay queens. Mimi sina hela za kufanya fujo mjini lakini nina list ya ma-ex visu na hata manzi ambaye ninae sasa ni wa moto na wala siongi demu anakuja geto kwa nauli yake mwenyewe. Its ok utaingia gharama za kumantain mahusiano kama vizawadi, kutoka out siku moja moja lakini akikisha izo gharama zinacheza ndani ya uwezo wako kibajeti. Nakusisitiza usitumie pesa kama chambo ya kumvuta mwanamke, hautapiga hatua katika maisha yako.
 
Mkuu ni pesa tu amini kwambaโ€ฆ.. mkono mtupu haulambwii

Namaanisha matunzo yatafanya upendwe,, sasa Kama hu bahili nani anataka mateso kwenye mahusiano bro
Kwenye zama hizi za 50/50 ambazo mwanamke umepewa access zote za kujipambambania unawajibika kujitunza wewe mwenyewe. Kama hauna kazi basi jukumu la kukutunza ni la wazazi/walezi wako. Msiwabebeshe vijana majukumu ya baba zenu.
 
We una shida zingne tu, mbna mm Nina urefu 5.5 na nmeshalala na mademu karibia 400. Nina wengi wazuri Hadi mm mwenyew nawakata
 
Asante kwa matumaini ....ila nitajaribu kutongoza wasio na demand ila sifa zote hizo ninazo mkuu
 
Tatizo linaanzia hapa

Usihangaike kutafuta vipepeo panda bustani yako itunze iwe maridadi kabisa vipepeo wenyewe watakuja

Hii comment haiusihani na vipepeo wala bustani
Kaka ninavyojiona bustani ipo lakini najiuliza kwanini vipepeo hawaji
 
๐Ÿ“Œkinachonishangaza wanawake wote wanaokuja kwenye maisha yangu wanakujaga kipindi mahusiano yao yakiwa dhaifu lakini ninapoamua kuwatongoza tu ndio wanaponikataa kidiplomasia kwakweli nimechoka kukataliwa
 
Listen my guy, kuna kitu nimekiona hapo.....seems you're so desperate na mapenzi, that's the reason why unawakosa wanawake hasa unaowahitaji wewe, never show how much you are in need of someone, live your life, mind your own fuckn business, JIPENDE brother JIPENDE! , fanya maisha, jijenge kiuchumi, warembo watakuja tu (wife materials, slay queens) i swear utawakimbia...when you're in the process of buildling yoself lust ikizidi tafuta malaya piga then pita vile.
 
Word๐Ÿ“Œ
 
Yawezekana hapa tunahangaika kishauri lakini kumbe huenda hujui kupiga mistari a.k.a kutongoza.
Maybe ungeweka hapa style yako ya kupiga verse maana wadada wako kibao humu ndani watakushauri unakosea wapi.
Kingine, nobody should tel u kua tafuta low quality chicks, ukiendekeza huko utakua soro tu na utakosa confidence ya pisi kali.
Chagua dem unamuelewa, imbisha, akiruka heri, akitiki kanyaga.
 
Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote
 
Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote
Hapo ndo unakosea.
You sound desperate mpaka hapo.
Mwanamke hutakiwi kumueleza shida zako maana ye ana zake Hadi zinajaa.
Unatakiwa umuonyeshe reasons za kwanini akuchague wewe over others or over alienae at the moment.
 
Hapo ndo unakosea.
You sound desperate mpaka hapo.
Mwanamke hutakiwi kumueleza shida zako maana ye ana zake Hadi zinajaa.
Unatakiwa umuonyeshe reasons za kwanini akuchague wewe over others or over alienae at the moment.
Mimi nina aminigi ukweli humuweka mtu huru ndio maana nawaambiaga straight forward ....kwaio iyo sio nzuri kabisa i was wrong kiukweli
 
Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote

Duuh wewe jamaa unazingua

Yaani mtu hata hamjafahamiana unaanza kumwambia habari za kuwa mama watotoโ€ฆ. Mambo hayapo hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ