CLABO
Member
- Jul 26, 2016
- 9
- 4
Wa ndugu! Kulitokea na watu wawili(Wachumba) katika mahusiano matam sana na mazuri! Punde yule msichana akapata nafas ya kwenda kusoma burundi kwa mda wa miaka miwili na kumuacha boy wake tz huku wamepeana ahad ya kutunziana penzi na pendo!. Wakati msichana akiwa masomoni kwel hakuwah msaliti boy wake kama ahadi yao ilivo, huku mwanaume tz alitoka nje ya ahadi na kumsaliti yule mwanamke tena sanaa!, Baada ya miaka miwili kupita msichana akarudi tz na kumtafuta boy wake huku anatatizo la figo! Boy wake akawa tayari kumpatia moja na akafanya ivo, Wakati matibabu yanaendelea pale hospital ghafra msichana akafikishiwa taharifa kua boy wake hakua mkwel kwake kwa kumsaliti!! Aya sasa! Boy katoa figo na kampa mpenz wake alafu ghafra mshkaj akapata mapungufu ya damu baada ya siku kazaa wakiwa katika matibabu! Kumchek msichana group iko poa na yule boy lakin akakataa kumchangia damu!. Je msichana alichofanya n sahh na yupi anaupendo wa kwel kwa mwenzake kati ya yule asiye saliti na kukataa kumchangia damu mwenzake huku amepewa figo au n yule alisaliti na kuwa tayari kwa kumchangia figo?