Love trends

Love trends

buti khann

Senior Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
184
Reaction score
66
Mmm kweli ukistaajabu ya Firauni utayaona ya Yuda kujinyonga.

Mambo mengi hutokea; kujali, kusalitiwa, chuki, wivu. Tazama mpezi unanipa furaha, mzuri wa Dunia nzima. Usiende mbali sana uwepo wako kwangu ni muhimu kuliko k2 kingine.

Mmmmm apa si tutauana? Mapenzi ushenzi 2 kila mtu ana mchepuko kama 2 ww na mm.
Mmmmm chukua hatua, kazi kwanza. [emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom