Love vs Sex

Watu wengi wanaiba tu ktk ndoa - tuache unafiki- ni kweli! Kama ni vibaya au vipi it is another question- sii lazima Kankansungu ajibu!

Watu wamejaa tu unafiki- utafiti UK umeonyeshsa 60% ya married couples wanacheat ktk ndoa! Sasa mnamlaumu Kanakansungu??? Muhumu kama uko ktk ndoa uvae mpira ili umlinde mwenzako!

Mjumbe hauwawi!
 
Sasa KS kumbe sex na love wewe wavihusisha he? Nilidhani hivi ni vitu viwili tofauti!
 
Say I am sorry give her you assurance that you will not repeat that mistake again and ask for her forgiveness. Do not try to justify what you did, IT WAS WRONG. How would you feel if your wife had done the same while you were away!?

it will be fine with me but Dont ask if i do the same ok? coz by then our motives will be the same, you know.....you are the only one in my heart...i had sex but as i say its just sex mhh!
 

...next time a better way to avoid this mess is -Deny, deny, deny!...!!! labda kama alikufumania tena kwa kukufunua shuka hasa!

come up with quotes like;

"sio mimi kabisaaa, labda umenifananisha,"

"sithubutu kukufanyia uchafu kama huo",

"imekuwaje unakalinganisha kale ka mwanamke na weye mke wangu?" etc etc..."

Weye shikilia wembe huo wa kukataa tuuuuu mpaka kieleweke.
hakuna kosa kubwa kama ku admit (kwa mkeo)! hapaeleweki hapo, utaonekana umefanya makusudi tu!
 
Usemacho si ajabu ila hakitakiwi kutokea (to have sex with other woman)na ww unadai hukutaka kusema uongo,nami nasema umekosea kusema ukweli.
Na sasa mkeo yuko kwenye kipindi kinachoitwa rebound period akipata mtu yeyote kwake itakuwa kama faraja atatoa mambo watu watakula kitumbua hicho na kwa watajua nini ana miss watataka kuridhisha kitendo wambacho wewe kwa sasa huwezi una singizia kabadilika umbo ,mara hili mara lile mara ukisha kuwa na watoto .Hakuna lolote kama unaweza unaweza tu!
Kwa taharifa yako hakuna mtu asiyependa kufanya ngono kama anajua atapata kufikishwa vema.Kama kachoka mpe muda hii kitu inahusisha ku-settle kichwani kama anajua kuwa atapata radha thabiti kwa kuwa unajua kumuandaa na kadharika atakuja tuu.... kama vile mbwa asikivyo harufu ya jatu na kukimbilia itokeako hali anajua kinachofuata ni nini.Ndugu ni ww tu na kilimo chako cha kusukua wakati kilimo cha sasa watu wanatumia nyezo.

Wewe unajifanya unauza sura kwa wanawake wa kizungu kwa madai unabaniwa nyumbani kupewa mambo ila inatokana na kushindwa kumfikisha ni kweli kero kwake ulitakiwa uwe mbunifu kwenda na mabadiliko ya mwenzi wako kama vile unavyokwenda na wakati.Ndio maana inaitwa marriage yaani vitu vinavyoelandana kama bolt na nut vinavyosemwa kufanya marriage piaway.Basi kwa kifupi mkeo atagawa kitumbua hicho kama hana akili nzuri na akitaka kufanya siri atafanya milele wanawake wengi hufa na siri zao.

Jambo jingene nimekuona kuwa mtu ambaye you can't flow with your own words.Mwanzoni umedai ulioa mapema kwa shindikizo la wazazi/utamaduni wa Tz,ktk ya majibu yako unadai wewe hubanwi na kitu chochote si God na hujui Sin ni nini just unafanya kama wewe unavyoona sahihi.Haya maelezo never tagged together try to be consistency with your words.

Otherwise sex and love are quite different as said to be and as describe by you and other member.But never tell your wife/husband that you had sex with other person and it was just one night stand.Keep that secrect for good!If you tell the truth it will cause pain and bring to her/him into rebound period (Natural way designed ), then sisi mafisi huwa tuko pembeni kusubiria that chance.

Na reference zako hizo "mbona Uk wanafanya threesome" mwishowe utasema mbona kiongozi fulani ni gay na ana mke hatari kitu gani.Acha kuona kila kitu majuu ndicho sahihi ,Uk kuna machizi mambumbumbu na wataalamu pia.
Takecare brother!
 
mh ,si yetu macho..Je mkeo akikuona unapiga mikono naye atamind?? kwani hapa napo ni kufanya sex kwa njia nyingine. sisi wengine tushakuwa addicted na kale kamchezo,tukiona picha za Brothameni tu tunaaga..
 
Jamani wewe una uchizi au? je mke wako akitembea na jamaa mwingine kisha ukajua itakuwaje ndugu yangu?
 
This thread is way out of date, pse do not post anything msije mkatonesha vidonda vilivyokwishapona bure nikaadhirika na baridi mwana wa mwenzenu! Asanteni.
 
Kuna ile mboga fulani inaitwa mchunga,zamani nilidhani ni kwa ajili ya sungura basi.Siku moja nilikula mboga hiyo kwa bibi mmoja hivi huko kwetu bila kujua,baada ya mlo nikauliza hii ni mboga gani bibi? akaniambia samahani nimewapikia mchunga,kama nimekosea mnisamehe,mimi na rafiki yangu tukaomba tupikiwe tena mpaka tutakapoondoka kule.Tangu siku hiyo mimi na mchunga mchunga na mimi.

Tusidanganyane,kama umeoa nje usijaribu tafadhali,hakuna cha mara moja au mara mbili.Mambo ya malovus ni hatari si mchezo.
 

..kwa madada zetu wa siku hizi,hapa utakuwa unajiongopea kichizi!

..unafikiri wao/yeye hana hamu au fantasy kama zako? what about that guy anayemtongoza kila siku mtaani au ofisini kwao!

..waswahili wana usemi huu..."mke wa mtu mtamu"

..get it!!?
 
....Nakubaliana na vishawishi lakini ukidokoa mboga baada ya kula ni lazima ufute mdomo.
 
Nadhani hapa ni ungwana unatakiwa. Kula nje na kujulikana sio uungwana. Nadhani muhimu zaidi ni kutilia maanani ungwana na kuhifadhi siri. Mpaka mkeo afahamu si uungwana
 
Ah! KKN that's common practise si unajua siku hizi wote waoaji na waolewaji ni usanii mtupu na wakati mwingine just to have different taste, experience and feeling...

Tatizo ni hapo ukijua na wife wako watu wanampa different feeling maana kuna watu just one chance anafanya kufuru na kumbadilisha mtu mwelekeo na matatizo huanzia hapo..
 
... Siku zote vya kudokoa huwa haviishi utamu hata kama utakuta nyumbani umetengewa mezani mazee mhh!! utajikuta unakumbukia vya uchochoroni tu kwa hiyo ni bora kutojaribu kabisa ni noma wajameni...
 
jaman the guy is nt serious at all,kwake yeye anaona ts okay kutoka nje ya ndoa yake lkn sio mkewe,kweli kwa mkuki kwa nguruwe................naungana na bubu,mruhusu pia mkeo then uone nawe utafeel aje atakapokuja kueleza na kuomba msamamah.hv du u thnk its that easy afu unadai eti nambadilisha mboga heb kuwa serious kdg,cz u a talking rubbish,sio siri umenkera to the maximum cz am a woman too,so am tryin to put myself into ua wife's position,nataman km ht nikuzabe vbao kwa huo ujinga wako unaosema na kutaka kuujustify huo uupuzi wako.etii unabadilisha mboga,na ukimwi je?kuwa makini unaweza kumletea mkeo ukimwi kwa akili yako hyo inayokudanganya eti unabadilisha mboga who told u women are like veggies,tna uwe na adabu na uanyoyasema.yan unakera na kutia hasira umeishafanya kosa afu unajusify ujinga.UNAUUDHI
 
ZIkitokea more than 3 hapo ujue unaibiwa tayari. lol
 

Mmmh jaman! so dats how t works wanajustfy tu na kudeny kumbe si lolote dah!
 
Sex is just a physical need, while love comes from your heart.
Struggle to have self control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…