Love vs Sex

cheating kama ukitaka wew mwenyewe lakini unaweza ukawa kwenye ndoa na usi cheat. hivi hofu ya mungu haiko ndani yako? ujui kama unafanya uzinzi? na hayo mawazo uliyonayo ya kusema kwamba ukute mwenzako anaburuzwa kichizi ndo yanakufanya na wew uzidishe tamaa zako. hey badilika hautapewa tunzo yakubadilisha mboga mara kwa mara ni kwamba unajipunguzia credit kwa mungu ingawa kwa binadamu utaona kawaida, mungu alitoa ubavu akumuumba mwanamke mmoja tu tena ambaye huyo uliyekuwa nae. badilika hzo siyo sifa bali ni ujinga na siyo kila kitu wanachofanya watu basi lazima na wew ufanye
 
Mkuu Nsungu,its four years now toka umerusha huu uzi,are you still in marriage?
 
Nijuavyo mimi ni kuwa unaweza kumpenda kila mtu lakini huwezi kusex na kila mtu,upendo ndo ulifanya dunia ikawepo kwa maana ya uumbaji,tumeshauriwa tupendane wote,kuna wengine wanaweza kusema upendo wa kumpenda mke ni tofauti na upendo wa kumpenda mama,mimi nasema no!Upendo ni mmoja kwani maana ya upendo ni kumkubali mtu kama alivyo bila masharti,mfano;unampenda mtoto sio mpaka afaulu mtihani au adeki nyumba!Sex haina uhusiano wowote na upendo,hilo ni jambo ambalo unakubaliana na mtu ili mjenge familia na ni jambo linalotakiwa kufanywa na watu wale wawili tu!
 

utamruhusu mkeo asex na wanaume wengine lakini akupende wewe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…