Love


hahahahah lol
haya bana ....

nimependa ulivyoelezea..

lakini nadhani tunafahamu LOVE ni feelings
na si kitu .... na unaweza ku feel something
kwa watu wawili tofauti....
kuna wengine wanaweza ku control hizo feelings
kuna wengine wanaweza kuzi kataa hizo feelings
kuna wengine huweza kuzificha na
kuna wengine wanapenda kuzi express hizo feelings..

Binafsi naona unaweza ku fall in love with more than one person
lakini yategemea ni jinsi gani utai control hizo feelings...

......................


you can't choose who you love
but you can choose what you do about it
....
AD..
 
AD, Tunapendaga saana, tusidanganyane! Ila inakuwaga ni temporary LOve

hapo kwenye red
kabisa tayari ni upendo....
doesn't matter if temporary or permanent...
yote upendo...
 

Uko mkweli saana dada yangu, na hii kitu hatuja zoea sisi
 


Respect to you....... Dah! Nimekukubali aaiisee....
 
Uko mkweli saana dada yangu, na hii kitu hatuja zoea sisi

I'm not say is socially acceptable but it's possible.
our cultures demand that in this situation we should make a choice
and stick to it ...
 
unajua kuna some advice huwa tunazipata from men only....
Sasa wew umempa hapo....
Ni kama dada katoa advice ambayo alipaswa kutoa kaka....
Go bang them both,then you will know lol

legendary advice.....l.o.l
 
unajua kuna some advice huwa tunazipata from men only....
Sasa wew umempa hapo....
Ni kama dada katoa advice ambayo alipaswa kutoa kaka....
Go bang them both,then you will know lol


I think nimeli koroga....lol
 
hujalikoroga..umekuwa honest like a sister
kama una kid brother mbona sipati picha lol


As if you know... i have only one broda, na the only advice huomba ni kuhusu lady related...lol
 
Thanks all for ur comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…