Love

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko interest why uko humu why unafatilia post kwan ukanyamaza bila comments utakufa? Ni ujinga naomba uongoz uweke kitu ambacho watu wataweA kufungiwa kutumia kwa mda ikitokea MTU Ku comment upuzi na lingine unatangaza unahitaj MTU linatokea jitu unachat nae inbox kumbe yuko Ku enjoy tu inaboa sana kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…