Love

Love

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Habari Nina 30 miaka natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 kuendelea awe dini yoyote kabila lolote. Awe anajishukhulisha na chochote hata akiwa na watoto sio mbaya awe tayari kuchek afya pia asiwe mwembamba na Niko tayari kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natafuta kuanzia 60 years na kuendelea, hata akiwana wajukuu hakuna tabu kabisa.
 
Unatafuta matatizo wewe,kama ana umri huo..itapendeza zaidi kama atakuwa na mwili mkavu; ila kwa wale wenye miili ya kibantu mkuu,itakuwa kila ukiamka asubuhi unamsalimia shikamoo mama;kwa sababu utakuwa unajisahau wakati mwingine.
 
Miaka 40? kwanini mwaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm simshangai huyu
Kuna kaka mmoja nachati nae nafahamiana nae yani analalamika wasichana wa under 28 wanasumbua sana na yeye ana 30 sasa alichoamua anataka tu kuanzia miaka 30 hata akiwa 35 poa tu kachoka stress , analalamika mnoo najaribu kumsihi mno kuhusu umuhimu wa umri na ndoa
Mana kwa sasa itakuwa sawa ila kuna Miaka 10-15,ama 20 mbele itakuwaje??

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Kumbee..ila 40 parefu ukilinganisha na age ya jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom