[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Corona ukijumlisha na ugumu wa maisha na changamoto zake basi mawazo kama haya huwa hayaulizwi yametoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π πCorona ukijumlisha na ugumu wa maisha na changamoto zake basi mawazo kama haya huwa hayaulizwi yametoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm simshangai huyu
Kumbee..ila 40 parefu ukilinganisha na age ya jamaa.Mm simshangai huyu
Kuna kaka mmoja nachati nae nafahamiana nae yani analalamika wasichana wa under 28 wanasumbua sana na yeye ana 30 sasa alichoamua anataka tu kuanzia miaka 30 hata akiwa 35 poa tu kachoka stress , analalamika mnoo najaribu kumsihi mno kuhusu umuhimu wa umri na ndoa
Mana kwa sasa itakuwa sawa ila kuna Miaka 10-15,ama 20 mbele itakuwaje??
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Vijana wanachoka stress , kaa tunavyooa kuna wanaume hawapo serious ili hali ww upo serious basi na wanawake ni hivyo hivyo