Lovely handsome hubby needed here

Masharti magum utadhani ina TV! Basi kaa nayo
 
Thanks dear!! you are one in a million atleast you came up with positive thoughts unlike others who are just here to criticize and speak bad of me
Ila kitu nimejifunza kwa this girl ni she is very confident sometjing which is good.
My dear wengine wanakutest tuu hapa kukudisappoint kutokana na some sellective criterias ulizoweka ila nna hakika kuna ambao wamevutiwa tu na hata unavyiyakabili majibu hasi yanayotolewa basi tu wanaogopa kutake riskya kudate na mtu wa mitandao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you ended up in std 7 then you don't qualify me coz not even an undergraduate can qualify me

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
Umebana mpk undergraduate huitaji [emoji4]
 
27 years old bado unataka mme kwa vigezo vyote ivo kama kampuni inatangaza ajira.

Ukifikisha 35 utakuwa umepunguza vigezo nijulishe[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

2logM@km
 
Halafu kwani watu hamuelewi Swahili? I said nataka a man from 30 yrs lakini unashangaa anakuja mtu ana 26 or 27 yrs kunipotezea muda wangu bure I don't like that.

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
 
It's technically difficult to find your placement. How the hell can you demand for a tall guy while yourself is critically short.

Make yourself tall first before you ask others to be tall for you as if it's self design.

Perkele
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made my day

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…