Loveness 'Diva' alikuwa video queen mbovu toka bongofleva ianze

kwa maoni yangu ni wa kawaida na sio mbovu.. mayb quality ya video ndo mbovu pamoja na directing.. jonita anaeimbwa anaokena ka mara tatu hv.. vipande vingine ni watu wanarusha rusha mikono tu.. anyways ni bonge la nyimbo..
 
mtu mbovu ulitaka aonekane mara ngapi?
 
ila Blu alikuwa noma sana ..... Platnumz na wengine they owe Blue...... ila napenda huwa anakiri kabisa hata enzi zile za kugombania jina la simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…