Loveness Love a.k.a Diva wa Clouds FM abadili jina, sasa anaitwa....

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Ala za roho Clouds Fm amebadili jina kisheria na kuanza kujiita Diva Gissele D Malinzi.

========

Sio Loveness tena: Diva abadili jina Mahakamani, sasa anaitwa ‘Diva Gissele D. Malinzi'

Diva sio Loveness tena kuanzia sasa! Mtangazaji huyo wa Clouds FM amebadilisha jina lake mahakamani na kuwa ‘Diva Gissele D. Malinzi'



Diva ameaimbia Bongo5 kuwa kuanzia Jumatatu ijayo atabadilisha kila kitu kilichokuwa na jina lake la zamani ‘Loveness' baada ya kula kiapo mahakamani cha kubadilisha jina.





Kwenye kiapo hicho, Diva amedai ameamua kubadilisha jina hilo kwa sababu za kikazi kwakuwa amekuwa akitumia jina ‘Diva' kwa kipindi kirefu sasa.

"Professional purpose plus hayo ni majina yangu I so wanted ever since nakuwa, so amma grown up in my 20s, living in my own world, it's Diva World I just live in it," Diva ameiambia Bongo5 kuhusiana na sababu za kubadilisha jina.

"It's Official I go by the name Diva Gissele Love ongeza surname mbele then we good to go. No More Loveness #abandoned and this deed already registered .. Thanks to My Lawyer Herry Munisi from Crest Attorneys . United Republic of Tanzania #ChangeOfName," ameandika kwenye Instagram.

Chanzo: Bongo5
 
Kuna siku nikaingia kwnye account yake ya insta nikashindwa kupata sura yake coz kila picha namuona tofaut sasa sura yake halis cjui ni ipi
 
Mimi namuonaga kama hana akili nzuri vile? Mambo anayofanya insta ni zaidi ya kichaa.

Chefuuu zake!
Sasa Diva ndo nini? Huyu naye ana matatizo ya ubongo.Eti proffessional purpose.Sean Carter-Jay zee ana jina kubwa sana na wala hajawahi kuwaza kulibadilisha liwe la matumiz yasio ya kisanii.
Tungoje Wema naye akajiite Wanjera
 
Kuna siku nikaingia kwnye account yake ya insta nikashindwa kupata sura yake coz kila picha namuona tofaut sasa sura yake halis cjui ni ipi

Ana sura kama ya kinyonga.
 
Hivi Diva Vs Shilole yupi angalau anaakili?
 
Abadilishe na jinsia kabisa tujue kawa chizi fresh.
 
Chefuuu zake!
Sasa Diva ndo nini? Huyu naye ana matatizo ya ubongo.Eti proffessional purpose.Sean Carter-Jay zee ana jina kubwa sana na wala hajawahi kuwaza kulibadilisha liwe la matumiz yasio ya kisanii.
Tungoje Wema naye akajiite Wanjera

Hahahaaa,ujue yote hii ni kuutaka umaarufu tu.Diva anapenda umaarufu sana.
Hivi ile mimba yake iliishia wapi? Mana kipindi kile ndio nilikua naipenda insta basi vituko haviishi.Mara katunguliwa mapera na GK mara wanaenda kula urojo.. warumi unajua hili?
 
Last edited by a moderator:
Duh ghafla Mungu ndio kakufunulia kua uyu Diva awe mkeo tehe teheee lazima nitafute andiko la kubisha maana unaweza kufa uku unatembea,kweli GK kamanda.

Mbona Kiongozi mkuu wa act naye alitaka kumuoa lakini akazidiwa kete na GK?
 
kwenye picha uwa anaonekana mzuri,lakin ukimuona live ni tofaut na picha tunazoona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…