Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

Nasikia ni mtoto wa Dioniz Malinzi

Ok what is special with her kwenye maendeleo ya nchi? sioni cha maana hapa about her.au nisaidieni wakuu au kuna kitu sensitive kafanya?
 
Hata mie namkubali sana tu ila sauti yake na mvuto vikipishana, chaa!
 
Hata mie namkubali sana tu ila sauti yake na mvuto vikipishana, chaa!
aah michuzi aliweka picha yeke lakini soon akaiondoa.....she ain't no beautiful kivile......siku hizi bana kuna ka msemo 'hater' bwa ha ha ha nitaitwa hater....
huyu hapa



kazi kwenu....
 
Mkuu
Sijaelewa anachoitaji nini hasa.
Kama anaitaji umaarufu na kufahamika si kuna magezeti ya udaku.
Alafu umaarufu au celebrity usiombe, utapewa mwenyewe kulingana na kazi yako unayoifanya, hivi wabongo hivi mkoje.
Hawa akina michael jack,bruce lee na wengine wengine mlishaona wanajiandaka kwamba wanaomba support ya kufahamika.
Kufahamika na celebrity yako itatokana na mchango kwenye jamaii mambo mazuri unayoyafanya.
Fanya kazi yako,watu watakutangaza kwamba wewe ni celebrity bwana,au kama unataka haraka basi magazeti yapo nunua pages, weka picha hadi watoto wakusome bwana,utakuwa celebrity haraka.
 

Rob
Umaarufu unapiganiwa (hard working) ndio unakuja
Hauji kwa kukaa wengine wakupe
Binti anajitahidi kuupigania na ataupata
Big up Diva
NN
 
Mbona mnamchora huyo mwanamke na hiyo pozi, alitaka mwenyewe picha hii iwe kwenye public? Ni kweli aliridhia hii picha na hilo pozi? Anahitaji wataalam wa picha wamshauri jinsi ya kupata pozi muafaka litakalokwenda sambamba na kichwa, mabega, kifua na tumbo, lakini si hii picha.
 
unahitaji source ilipotoka?

http://diva255.blogspot.com/2009/07/after-askin-4-my-pic-guys-its-ur-diva.html
 
unajua wenzetu nchi zilizoendelea wengi wa watu wa aina hii wanakua na faida katika jamii lakini hapa kwetu tusubiri skendo tuuuuuu za huyu karibu katika ulimwengu wa magazeti ya udaku maaana wengi waliyopo sasa awauzi kichwa kipya kama hiki huwafaa sana jamaa kwa jinsi nijuavyo mimi
 
Tena atulie hasa maana atasumbuliwa hadi atajua hiki nn....wamelo na walio serious ukimuangalia ni mtoto mdogo hata 25 bado.....sasaa hadi afike 26 hivi apate akili utu uzima mamam weee inaweza kuwa balaa.....ukimsikiliza anasema ana misimamo yake....hawezi babaika sijui labda kwa sbb ni familia bora anaweza asitishwe na vijicenti vya mabazazi....mtoto wa Dioniz Malinzi
 
Mimi nina msupport huyu mtoto mwenye ndoto ya kuwa supa staa, ila nadhani Muongozo ndo mbovu, hana washauri.

Mfano sauti yake ya kimapenzi asingeitumia kwenye kipindi cha jahazi zha Gadner, sio pake kwasababu sauti ile ni FAKE, ni ya radioni.

Pili huyu hata mwaka hana redioni sasa sijui kama huo u diva (hata kama alimaanisha mwanamke aliyebobea kwenye fani yake, inagwa pia sio maana yake) hasingejipa hilo jina.

Kwa ufupi ni nyota atakaye kuja juu ila akipata ushauri murua.

Ni mtoto wa Jamal Malinzi, kakulia upande wa mama. Kama ukielewa nina maanisha nini.....!!
 

Nadhani ni Jamal check your sources tena wa kulelewa kwa mama.........
 
Huyu kimwana yuko juu kwa sasa, real anasidia sana vijana walio na matatizo ya kimapenzi kupitia kipindi chake cha Ala Za Roho, Nampongeza sana, licha ya utu uzima wangu ila kuanzia Jtatu hadi Alh lazima niskilize kipindi chake huku nikiutafuta usingizi.Big Up Loveness Love.
 
Atulie basi awe na nyumba yake sio kam kina nanihiiii

Kwani umeambiwa hajatulia kwa mama yake panamtosha


Fair kabisa aachane na kipindi cha Gadner asimamie kipindi chake(sauti yake inaleta usingizi night shift)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…