Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

berlyz1

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
7
Reaction score
1
KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII


Wacha weeeeeee hii ndio habari ya Dar mitandaoni kwa sasa







baada ya la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City






Hizo zilikuwa breakfast tweets kwa mheshimiwa mbunge, mpaka sintah.com inakwenda mitamboni heeee mheshimiwa alikuwa hajajibu hata tweet moja ya hizo hapo juu. Chinekeeeee

Diva@
‏Divamimi
#teamdiva. Pliz handle this woman from kenya that been so busy attacking me. Attacking my country as well, mfunzeni #Leggo. @HUDDAHMONROE


Baada ya Sakata na Mh hapo juu sijuwi mwanadada huyu alitokea wapi kutokea +254 na hii ndio kali kuliko unakumbuka kibao cha ze boyiii iz mine hapa ndipo muafaka

here we goo +254 Hodiii Boss Lady (KE)








The Boss Lady wa Kenya nae hakuwa nyuma na TEAM yake, kumbuka kila nchi ukanda wa EA una boss Lady heeeee
yes lovies sikurupuki umeona kila kitu hapo juu si eti eee

Dedication ya Hudda na Loveness Diva (The boy is mine)
kwani prezoo ni sukari ya warembo na kati ya Kenya???
kutoka kwa purezida nehi papa kwani anajionea blaah blaah.

Unstoppable.

i do the seeking n u do the judging.

 
Does it mean that zitto ndo kapigwa chin over prezzoo? ...haya bana.
Huyu Diva nae ni attention seeker sasa amekutana na Boss lady from Kenya
 
I dont think prezzo is serious coz hata alipoenda xxl alisema amempenda fetty, he is always joking . He might be joking here because is a charming person
 
I dont think prezzo is serious coz hata alipoenda xxl alisema amempenda fetty, he is always joking . He might be joking here because is a charming person

Nilimsikia prezzo kwa masikio yangu akikiri kwenye uheard kwamba amempenda Diva na anajiandaa kupeleka mahari....may be iwe utani tu kama unavyosema mkuu.....

Na mzee Zitto nae kumbe alikuwa anatafuna hii kitu, mhh hapa ndio nimekuwa mdogo. Hadi kwenda kwenye ala za roho kumbe eeehhh alikuwa anamsapoti mama wa watoto? Mnyika yeye kama shemeji mtu alipotezea teh teh. Na mpango wa kugombea kupitia chadema sijui kama ndio utakuwepo tena au na chama atahama mweehh mambo ya mjini haya!! basi sawaaaa mengine tumuachie baba na mama......
 
Last edited by a moderator:
Kwani zitto ndio alikuwa anapona kwenye huu mzoga??
 
Me nikikuwa najiuliza kwann Diva anamsifia Zitto daily,iwe kwenye redio au mitandao ya kijamii,mara ooh he is my president(2015) duuh kumbe tayar jamaa alishachovya?!doooh
 
Me nikikuwa najiuliza kwann Diva anamsifia Zitto daily,iwe kwenye redio au mitandao ya kijamii,mara ooh he is my president(2015) duuh kumbe tayar jamaa alishachovya?!doooh

Yani hapa ndipo wanawake wanapokosea, mtu akikuonja tu basi masifa kibao na mishauo miiingi hadi wengine wanastukia mchezo......sasa ni kupakana live kwenye tweets
 
Reactions: PSM
teh teh ndo maaana nikiwa sijaingia kwa sintah huwa naumwaaa umbea wote wa mjini naupata poor zitto kwa kubwagwa
 
ila prezzo hela zake tu damn na swaga anazotupia plus mgodi wa dhahabu na inaonekana hana kibamia jamani diva hongera kwa kujipatia ila kutweets huo utumbo umevurunda sie wanawake wa mjini tunajijua hapa watagongana wafight na kukupindua kisha wakucheke wapi lulu mohamed
 
kwi kwi kwi! eti hana kibamia! umenichekeshaaaaaaaaaa! mi mwenyewe nilihisi tu kibamia nehi pale! upo mdogo wangu?
 
Reactions: amu
Hivi kwa nini haswa Watu mnatumia mtandao vibaya tweet ,Facebook blogs zinakuwa Kama tools za kuharibiana kutukaana.kwa nini usimpigie simu Huyo Mtu duh .Cant we all get along .
 
Huyu Loveness George Semkiwa Malinzi ana matatizo sio bure, yaani mwanaume kamkonyeza tu yeye kelele kibao je angetongozwa ingekuwaje? Inaonekana anatumia kipindi chake kutongoza wanaume ati? akiwakalia vibaya na sauti yake akiibana basi wanaume wanapagawa kwake raha tele. Kwa uzoefu wangu wanaume hawapendi wanawake wa majivuno na mashauzi hivyo atamfukuza Prezo mapema hata kama alikuwa anafikiria kumchukua kweli.

Bi dada unahitaji kufundwa, mapenzi hayaendi kwa pupa wala kwa matangazo. Mbona nyuma ulikuwa very humble? what happened to you? Sasa na kumuhusisha Mh. Zitto ktk tweet zako tukueleweje? hata kama ulikuwa naye kweli si unajua yeye sio single man? ana mwanamke na mtoto kwa nini usimuheshimu basi?

Ama kweli nimeamini baadhi ya wanawake ni maharage ya mbeya... sio uongo maji mara moja. Desperate for fame, uko tayari hata kuua mwanamke ili uwe maarufu...Puuh
 
kweriii divaaa acha kujinyeaaa prezoo hajakutokea wala nini tunakujua unaugonjwa wa kutongoza na kujitongozesha tupa kulee tanga hawapo ivyo.
 
Diva looks cheap..!
Prezzo apige wote chini.
Sijui nyuso zao watazificha wapi???
Na mbona Prezzo hajasema kitu?
 
Reactions: amu
nipo jamani umenisusa sana hata simu hupokei msg hujibu jamani namchukia aliyekufanya uwe hivyo.
Miss you mno
tena nimewamiss sana! Nimesikia babu Mtambuzi kama kawa, atatuita tena, nitakuja this tym, ni kubanwa nabanwaaaaaaa! Miss u too mdogo wangu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…