Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Twita ndio kwanza kumekucha, Fetty anasema kuna mtu amelegea mshipa kichwani (think hapa anamaanisha diva).....masifa kibao kwa prezzo
 
Twita ndio kwanza kumekucha, Fetty anasema kuna mtu amelegea mshipa kichwani (think hapa anamaanisha diva).....masifa kibao kwa prezzo

Mrembo by Nature una maanisha dj fetty? kama ni hawa si wana toka nyumba moja hawa i mean clouds? ila huyu diva lazima ana tatizo kabisa bila shaka tutakuja kusikia yuko na sukari ya warembo soon!
 
Last edited by a moderator:
alaf hapo mbona sioni sehemu alipo mtosa mtu hasa zitto? alaf mbona ni one side conversation tuu? yani huyu anajibu tweet zote hizo kwa tweet moja kutoka kwa zitto? hapa hakuna kipya zaidi ya diva kutafuta umaarufu tuu!
 
Mrembo by Nature una maanisha dj fetty? kama ni hawa si wana toka nyumba moja hawa i mean clouds? ila huyu diva lazima ana tatizo kabisa bila shaka tutakuja kusikia yuko na sukari ya warembo soon!

Huyo huyo fetty dj....naona kama ameboreka na huyu manzi anavyojianika na kuanika watu huko twita......mshipa wa aibu na nidhamu umemtoka huyu demu. Diamond soon atakula mzigo tupo na tutaona
 
Huyo huyo fetty dj....naona kama ameboreka na huyu manzi anavyojianika na kuanika watu huko twita......mshipa wa aibu na nidhamu umemtoka huyu demu. Diamond soon atakula mzigo tupo na tutaona

hakika basi kafanya vyema sana kumwambia yani huyu binti nahisi kachanganyikiwa kabisa sasa sijui management ya hiyo radio ina muonaje huyu mtangazaji wao maana mtu kama huyu ana hitaji ushauri kabisa na anajidharirisha kabisa yeye na wazazi wake! kwa swala la diomond najua huyu diva lazima anamvizia na soon ata mnasa!
 
Hahahaha sukari atapewa kipindi then atalegezewa sauti weeeeeee wataongea pillow talk mwisho wa siku basiiii mengine tutamuachia baba na mama
 
Hahahaha sukari atapewa kipindi then atalegezewa sauti weeeeeee wataongea pillow talk mwisho wa siku basiiii mengine tutamuachia baba na mama

hahahahahahahahahah
nahisi diva kaanza kuchanganyikiwa kabisa! kweli mengine tumuachie baba na mama
 
Huyo demu aliamua kujiunga na chadema akijua atakua first lady 2015.
 
Diva looks cheap..!
Prezzo apige wote chini.
Sijui nyuso zao watazificha wapi???
Na mbona Prezzo hajasema kitu?

atapiga chini baada ya kula ze kituzzzz
 
Waswahili
husema ..."Mapenzi ni
UCHIZI"...
Hili ndo tunalolishuhudia
kwa Mh Zitto na Manzi wake
MAPEPE ( Loveness Diva )
ambaye ameamua kumtema
na kupeleka penzi lake kwa
Prezzo wa Kenya....
Kwanza ulianza ujumbe wa
kumpongeza Prezzo na ahadi
ya kumtema RAIS WETU
MTARAJIWA....
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1368557634361.jpg
    66.1 KB · Views: 181
Ni jambo jema kushukuru kwa kila jambo.

Nasema aksante kwa udaku.
 
Aise hili jambo lina ukweli?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hakuna Subscription fee ya kutumia Akili, ni bure kabisaaaaa kwa nini tuogope kutumia akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…