Amtose mara ngapi? Hukusikia U HERD!!!!!! ya Gossip Cop wa Clouds Fm? HABARI NDO HIYO!
Mimi sidhani kama najua Kiingereza maana sijaona popote pale katika hizo tweets ambapo Zitto katoswa.
Hivyo inawezekana labda sijaelewa.
Wewe umeona alipotoswa?
uwezo anao ila the guy doesnt care cos he has many on the list cha zaidi atakuwa anamsikitikia tuu
Iko tweet ya Zitto LIVE inatia shaka kwa ntu wa caliber yake kuweka tweet kama ile! If I had balls ningeitupia hapa! Ooooopss! I searched my balls they are gone!
Naomba nikiri, sijui hata ni nini kinaendelea hapa
Nilidhani zito na huyu dada ndio wanatongozana?
kutingozana walishatongozanaa siku nyiingi,wakagegedana na stage waliopo ni ya kubwagana tena through social network hii ni mara baada ya prezo kumpata the Diva
Mwisho wa ubaya ni aibu!Eeeh,jaman makubwaaaaa,
jana nimesoma tweets za huyu bint akimpaka chahali kwa kashfa ya wabunge kutiana mimba,leo tena yanaibuka haya ya vibuti,je walitongozana tweeter hadi watimuane tweeter?
Mrembo by Nature/MENTION] ni kuonjana, sema sasa wanawake sio wote lakini wanapagawa na kuweweseka mno hasa mtu mwenyewe akiwa ni public figure as [MENTION=1681]Zitto na wengine kama hao.Yani hapa ndipo wanawake wanapokosea, mtu akikuonja tu basi masifa kibao na mishauo miiingi hadi wengine wanastukia mchezo......sasa ni kupakana live kwenye tweets
Hivi Zito kweli, mbona ana ma-akili mengi ya kujenga hoja?
Nimeamini akili za mapenzi ni ngumu sana, sijui ziko wapi.
mtoto anae kazaa na yule Madame...,lecture wa pale UDSM
Ukimnyima financial support unatupiwa mabaya yote
PLL news zinapatikana hum hum town shurti uwe tayari kusutwa siku ukiyakoroga........Hee kumbe yule madame nae alinanliyuu na mheshimiwa?jaman mnapataga wapi hizi hot news nami nataka