Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Wanaume kilichowashinda duniani ni kuji do wenyewe otherwise mikono,vichaa, wote wanapitia..
Sina maana huyu dada hafai kuwa na mtu ila inahitaji ujasiri wa huyo mchumba wake
 
Yeah,.. I was had a friend who was interested with Tom boys
Hao Tom Boys cha mtoto mtu akinyoa nywele na kuvaa Kata K tu anakuwa Tom Boy.

Kuna wanaume wanatafuta wanawake wajenga misuli. Wao ndiyo furaha yao.
 
Duh, huyu unatongozaje maana zile genes za kike hakuna hapo, except uke tu
 
Hahaha... Ila kweli
Mimi nilikuwa na "shemeji" yangu alikuwa anabeba vitu vizito.

Wanafanya mashindano yao kabisa.

Na wanaume wanajaa kibao kuja kuwaangalia na kuwashangilia.

Hiyo Marekani. Ila bongo hivi vitu vinaonekana vya ajabu.
 
Wabongo tupo nyuma sana. Mambo kama hayo jamii zetu tunafanya kushangaa sana.
 
Wabongo tupo nyuma sana. Mambo kama hayo jamii zetu tunafanya kushangaa sana.
Naam,

Na "shemeji" hiyo ndiyo passion yake mpaka kaamua kuacha kazi kaanzisha gym yake mwenyewe anaiendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…