Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Niliwaambia hata yule Luvanda wa Al Nassr anayedai wanaume wanamuogopa kumtongoza ni hajichanganyi tu na masela.
 
Na hiyo misuli ya paja ujifanye unaingia chumvini akikubana lazma udanje
 
Sasa kama watu wanakula mi nduku ya wanaume wenzao mbna hapo kawaida
 
Mkuu umezungumza kitaalamu. Ila wadau humu wao wanazungumzia hisia namuonekana.
 
Nina wasiwasi na nyonga yake.
Male v/s female pelvis.
C. Section?
 
Wanaume kilichowashinda duniani ni kuji do wenyewe otherwise mikono,vichaa, wote wanapitia..
Sina maana huyu dada hafai kuwa na mtu ila inahitaji ujasiri wa huyo mchumba wake
Kwanini unasema hivyo mamii? Ina maana huyo dada hastahili kuwa mpenzi? Au Hana hisia jamani?
Mbona mi mtu wa kunyanyua vyuma sana TU na nna kifua kikubwa pia na jamaa yangu deile ananisapoti
 
Kwanini unasema hivyo mamii? Ina maana huyo dada hastahili kuwa mpenzi? Au Hana hisia jamani?
Mbona mi mtu wa kunyanyua vyuma sana TU na nna kifua kikubwa pia na jamaa yangu deile ananisapoti
Jamani mamii sijasema vibaya...😃😃😃hongera kumbe na ww una kifua kipana
..sema tuu hatujazoea hiyo hali
 
Hamna mwanamke hapo huyu alitafuta kutrendi na akayapata majinga yakaamini km anabisha aioneshe mubashara, kuwa mwanamke mchezo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…