sio siri wenzetu wa west hasa Nigerian music kwa sasa ipo juu sana kwa ma-bang y akutisha..........
naomba msaada huu wimbo huwa nausikia sana mara nyingi clubs etc ila sijabahatika kuujua kapiga mwanamuzik gani.........
naomba nielezee some of the words najua nitachapia sana ila wajanja watanipa maana
haya twende
undele undele..undele...ooo lalalaaaa;uu lalalalaaa. iyeee yeee.......ooh lalalalaaa..iyeeeyeyee
haya sasa nipe msanii kamili nikautafute