Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripiHello GT, naombani msaada wenu , nimepima blood pressure Iko 71/51 ,na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni , naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha , naomba msaada wenu waungwana wangu ,
Du pole sana mkuu. Ngoja waganga waje wakushauri.Hello GT, naombani msaada wenu , nimepima blood pressure Iko 71/51 ,na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni , naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha , naomba msaada wenu waungwana wangu ,
Asante sana Mr, ndio najiandaa , kwenda hapo dispensary ,Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripi
Lakn pia agiza coka/Pepsi
Pole san mkuu
All the best hakikish unatafun kituchochote mdogo ilikujip nguvuAsante sana Mr, ndio najiandaa , kwenda hapo dispensary ,
Barikiwa sana , hamna msaada mdogo mkuu
chukuwa kijiko 1 kidogo koroga katika glasi ya maji kunywa itapanda presha yako au kunywa kahawa chungu presha itapanda. Ukitaka dawa ya kumliza tatizo lako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.
Nini sasa mkuu nikoroge bosschukuwa kijiko 1 kidogo koroga katika glasi ya maji kunywa itapanda presha yako au kunywa kahawa chungu presha itapanda. Ukitaka dawa ya kumliza tatizo lako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguw apole.
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.
Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripi
Lakn pia agiza coka/Pepsi
Pole san mkuu
First aid ni maji ya kunywa, ukiwa hospitali au clinic wanakuwekea drip au jina lingine IV.
Wahi Hospital,Yaan hapo mkuu pressure ya juu na chin zote ni tatzo ,,
Punguza mawazo
Agiza energy kunywa kwa utaratbu sana , make sure unafk hospital
Chukua chumvi kidogo korogea kwenye maji kunywaHello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.