SHADENET GREENHOUSE: NJIA SAHIHI KATIKA MAFANIKIO YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA
Ni shamba lililozungushiwa uzio wa net juu na pembeni.
Ni jengo maalum ambalo ndani yake ni mahususi kwa kupandwa mazao (Kilimo)
Ni jengo ambalo linamfanya mkulima kuwa na uwezo wa kuhodhi hali ya hewa kwa ajili ya mazao yake
Kilimo cha Bustani yaani kilimo cha mbogamboga na matunda humu ndimo mahala pake haswaa!!!
KWANINI GREENHOUSE
Kilimo kinakabiliwa na vihatarishi vikuu vinne ambavyo husababisha mavuno kuwa madogo.
1.Jua
2.Upepo
3.Wadudu
4.Matumizi sahihi ya maji
Greenhouse huondoa ama huzuia vihatarishi hivi kuufanya mmea usifikie malengo yake ya kutoa mazao katika wakati muafaka, kiwango sahihi na ubora unaotakiwa.
UMUHIMU WA GREENHOUSE
1.Huwezesha mimea uzaa mapema nakuishi kwa muda mrefu zaidi tofauti na kilimo cha wazi
2.Humuwezesha mkulima kuchagua aina nyingi za mazao anayotaka kulima wakati wowote ule
3.Hulinda mazao kushambuliwa na wadudu waharibifu
4.Matumizi madogo ya sumu
9. Net huzuia:
a)Jua kuiumiza mimea (stress) hivyo kuifanya kutengeneza chakula chake katika hali tulivu
b)Jua kuikausha ardhi hivyo kuondoa upotevu wa maji ardhini kwa haraka
c)Upepo kuiumza mimea (stress)
d)Upepo kuleta magonjwa yanayosafirishwa na kuambukizwa kwa upepo
e)Wadudu waharibifu wa mazao na wanaoleta magonjwa.
f)Wanyama waharibifu kama panya na ndege
MFANO WA KILIMO CHENYE TIJA (HOHO)
Gharama za uwekezaji Jengo (18m by 8m) -3,200,000/=
Gharama za uzalishaji 1,800,000/=
Mavuno yanayotarajiwa 5,760,000/=
Faida baada ya mavuno
1.Cash - 760,000/=
2.Jengo litalodumu sio chini ya miaka 5
Muda wa kilimo miezi 6
GHARAMA ZA UZALISHAJI
1.Mbegu 60,000
2.Samadi 100,000
3.Mbolea nyingine 100,000
4.Madawa 100,000
5.Mshahara wa Mfanyakazi 480,000
6.Chakula cha mfanyakazi 240,000
7.Umwagiliaji - 450,000
8.Solo 250,000
MAVUNO
Muda mpaka kuanza kuvuna batch ya kwanza miezi 3
Muda wa kuvuna mazao baada ya kuyakuza kwa miezi 3 miezi 3 mingine (jumla 6months)
Miche shambani 480
Matunda @ 10 4800 kwa batch
Batch ktk 3months 6
Bei ya tunda 200/=
Mapato ya batch 960,000/=
Mapato ya miezi 3 ya mavuno 5,760,000/=
MAWASILIANO
Ken Products Enterprises
Plot no.868 Block E Tegeta
P.O Box 20600
Kinondoni
Dar es salaam
Tanzania
Tel:+255652402665
Mob:+255772668500
Email: kenproducts@gmail.com

- Mmea huzaa mapema e.g nyanya 2 months, hoho 2.5months
- Mmea huweza kuishi muda mrefu e.g Nyanya 1yr, Hoho 6months, Swetmelon 5-6months, Tango 1yr.
2.Humuwezesha mkulima kuchagua aina nyingi za mazao anayotaka kulima wakati wowote ule
- Mazao yoyote yaweza kuzalishwa katika greenhouse kwani hali ya hewa na aina ya udongo yaweza tengenezwa kulingana na mahitaji.
3.Hulinda mazao kushambuliwa na wadudu waharibifu
4.Matumizi madogo ya sumu
- Kwakua magonjwa ya kuambukiwa yatakua yamedhibitiwa basi, matumizi ya dawa za sumu yatakua madogo sana ama hakuna.
- Kwakua matumizi ya madawa yatakua madogo basi, mazao yatakayotoka yatakua almost ORGANIC.
- Kwakua hali ya hewa ma mazingira ya uzalishaji yatakua yameboreshwa basi, mazao yatakayotoka yatakua yenye ubora wa hali ya juu.
- Kwakua unyevu ndani ya shamba utakua unahifadhiwa , kwahiyo matumizi ya maji yatakua matuzi.
- Kwakua kutakuwa na mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone, matumizi ya maji yatakua mazuri sana na gharama za uendeshaji zitapungua zitapungua
- Kutakua na usiri katika kuyakuza na kuyatunza mazao shambani kwani ni ukweli wapita njia na majirani sio wote wanaopenda maendeleo ya mtu.