Low na High kwenye 4-Wheel Drive

Low na High kwenye 4-Wheel Drive

KndNo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
627
Reaction score
2,049
4wd nyingi zinakuwa na dual range - Low Range(4L) na High Range(4H). Purpose kubwa ya 4wd ni kuongeza Traction na Power..!

4H..
Hii inachofanya ni transfer case kuunganisha shaft na diff ya mbele. Gari inaweza kwenda mwendo kiasi. Inatumika sehemu ambayo gari imekwama sio kwa kukosa nguvu ila imekosa traction..mfano unataka kupanda mlima kwenye utelezi na matairi ya nyuma yanaspin tuu..! Unaengage matairi ya mbele nayo yazunguke.

4L..
Hii transfer case inaunganisha shaft na diff ya mbele pamoja na kumultiply gear ratios..gear ratio zikiwa multiplied utapata torque kubwa kwenye low speed.. More power.. Hii inatumika mahali gari imenasa na inahitaji power zaidi.. Mfano gari imeingia kwenye tope.. Tope limeshika matairi yanagoma kuzunguka.

Ukiweka 4L utafeel gari inayokuwa na extra power(torque)..hapa huhitaji hata kukanyaga accelerator kwa nguvu.. Weka 1st gear na 4L..nyunyizia kidogo mguu kwenye pedal.. gari itatoka yenyewe.

Pia Diffs zinasaidia namna gani 4wd yako itafanya kazi.. Open Diff.. LSD.. Locking Diff.. Zitakupa matokeo tofauti kwenye 4wd..!
 
4wd nyingi zinakuwa na dual range - Low Range(4L) na High Range(4H)..!
Purpose kubwa ya 4wd ni kuongeza Traction na Power..!

4H..
Hii inachofanya ni transfer case kuunganisha shaft na diff ya mbele..
Gari inaweza kwenda mwendo kiasi..
Inatumika sehemu ambayo gari imekwama sio kwa kukosa nguvu ila imekosa traction..mfano unataka kupanda mlima kwenye utelezi na matairi ya nyuma yanaspin tuu..! Unaengage matairi ya mbele nayo yazunguke..!

4L..
Hii transfer case inaunganisha shaft na diff ya mbele pamoja na kumultiply gear ratios..gear ratio zikiwa multiplied utapata torque kubwa kwenye low speed.. More power.. Hii inatumika mahali gari imenasa na inahitaji power zaidi.. Mfano gari imeingia kwenye tope.. Tope limeshika matairi yanagoma kuzunguka..!
Ukiweka 4L utafeel gari inayokuwa na extra power(torque)..hapa huhitaji hata kukanyaga accelerator kwa nguvu.. Weka 1st gear na 4L..nyunyizia kidogo mguu kwenye pedal.. gari itatoka yenyewe..!

Pia Diffs zinasaidia namna gani 4wd yako itafanya kazi.. Open Diff.. LSD.. Locking Diff.. Zitakupa matokeo tofauti kwenye 4wd..!
Shukrani sana. Nilichobakiza ni kupambana nipate gari lenye uwezo huo
 
4wd nyingi zinakuwa na dual range - Low Range(4L) na High Range(4H). Purpose kubwa ya 4wd ni kuongeza Traction na Power..!

4H..
Hii inachofanya ni transfer case kuunganisha shaft na diff ya mbele. Gari inaweza kwenda mwendo kiasi. Inatumika sehemu ambayo gari imekwama sio kwa kukosa nguvu ila imekosa traction..mfano unataka kupanda mlima kwenye utelezi na matairi ya nyuma yanaspin tuu..! Unaengage matairi ya mbele nayo yazunguke.

4L..
Hii transfer case inaunganisha shaft na diff ya mbele pamoja na kumultiply gear ratios..gear ratio zikiwa multiplied utapata torque kubwa kwenye low speed.. More power.. Hii inatumika mahali gari imenasa na inahitaji power zaidi.. Mfano gari imeingia kwenye tope.. Tope limeshika matairi yanagoma kuzunguka.

Ukiweka 4L utafeel gari inayokuwa na extra power(torque)..hapa huhitaji hata kukanyaga accelerator kwa nguvu.. Weka 1st gear na 4L..nyunyizia kidogo mguu kwenye pedal.. gari itatoka yenyewe.

Pia Diffs zinasaidia namna gani 4wd yako itafanya kazi.. Open Diff.. LSD.. Locking Diff.. Zitakupa matokeo tofauti kwenye 4wd..!
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom