Lowasa ndie anaestahili kwasababu zifuatazo

Lowasa ndie anaestahili kwasababu zifuatazo

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA
KUWA RAISI 2015, HIZI NDIZO SIFA
ZAKE
Niliwahi kutoa ahadi kuwa nitaweka
sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi
naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa kama Rais ambae
Tanzania inamuhitaji kwa muongo
mwingine ujao. Nikiri wazi kwamba kwa CCM ni Lowasa
pekee mwenye sifa hizo labda
nitamlinganisha na Dr. Slaa ambae kwa
muono wangu kidogo anamkaribia
Lowassa nikimaanisha kidoogo
wanalandana na nitasema wapi Lowassa anampiku Slaa.
Kwa utangulizi tu ni kuwa Nchi hii ili
iendelee inahitaji KIONGOZI kwa ufupi
kabisa niseme hivyo inahitaki KIONGOZI
SHUPAVU tena SHUPAVU KWELIKWELI
sio masihara. Waziri mkuu Mizengo Pinda na Mbunge
wa Monduli Erdward Lowassa. Tupo kwenye umaskini mkubwa,watu
wanateseka bila sababu ya msingi.
Vijana tunashabikia tuu kama wehu,
wengine ni wasomi lakini tunapelekwa
kama upepo tukisikia hiki "hewala"
tukisikia kile "sawa" tukiambiwa hivi "alhamdulilah" tukiambiwa kile "poa
tu".
Hatutaki kuchambua na kuielewa siasa
kwamba kwenye siasa kuna
majungu,fitna,kuchongeana,uchu wa
madaraka na mali na mambo meeeengi ambapo msipokua makini mnaweza
KUMCHUKIA MZURI MKAMPENDA MBAYA.
kwa misingi hii ninaanza uchambuzi
wangu. Na uchambuzi huu
nitauandikakwa facts and figures kama
anavyosemaga Prof.Muhongo. 1.LOWASSA NA "BIG RESULTS NOW".
Nianze na hili.Tunajua wote kuwa
serikali yetu sasa ipo kwenye mpango
wa matokeo makubwa sasa
BRN.Mpango huu mbali na mambo
mengine unahitaji kiranja mkuu (RAIS) ambae ni SHUPAVU,JASIRI,
MTHUBUTU,MWENYE KUWEKA MALENGO
NA KUSIMAMIA KUONA YANATEKELEZEKA
lakini pia kama jina la mpango lenyewe
lilivyo "MATOKEO MAKUBWA SASA" yaan
we want things to happen now. Kwa minajili hiyo ni kiongozi gani
mnaeona anaeweza kuleta matokeo
makubwa sasa?embu tuwe wakweli
LOWASSA tunamjua alipoingia kuwa
waziri mkuu alitangaza kuwa ndani ya
kipindi cha miaka mitano ambacho angekuwa WAZIRI MKUU angetaka kata
zote ziwe na shule za sekondari. Sote ni
mashahidi alivyosimamia sera hiyo
shule zilianza kumea kama uyoga yaani
kama mazingaombwe.
Hata maeneo kama ya Kinondoni ambapo ardhi huuzwa kiholela hivyo
ardhi kutopatikana lakini ilipatikana
kuanzia vijijini hata miji wananchi
walianza kujenga shule.ni mashahidi
kama sio fitna za yeye kupelekea
kujiuzulu sijui leo kielimu tungekuwa wapi.
HE HAD A MASTER PLAN OF OUR
EDUCATION SYSTEM AND HE LEFT WITH
IT BUT STILL HE HAS IT IN HIS HEAD.
Naamini huyu mzee akipata nafasi
tutafika. Si hilo tu tunajua mambo mengi aliyokuwa nayo kichwani ambayo
mengi yapo kwenye huu mpango ni
shupavu ambae angeweza na anaweza
kuyasimamia yatekelezeke. Dr.Slaa ni
mzuri wa kusimamia mabo lakini
somtimes huwa analoose focus nitaliongelea kwenye point ya tatu. 2.LOWASSA ANAJUA KUWEKA
VIPAUMBELE NA KUJUA TUNAVIFIKIAJE.
Jamani Nchi hii ili iendelee na ndivyo
hata nchi zilizoendelea zilivyoanza ni
kuwekeza katika elimu ya watu wake,
Kilimo na Viwanda nikimaanisha sekta ya uzalishaji. Tunajua jinsi LOWASSA
alivyo anza na hayo shule za kata
nilishazizungumzia na mipango mingi
ya elimu ukitaka kuijua waulize walimu
alipoanzisha program ya kuwajengea
nyumba,alivyoanzisha program ya kuhakikisha watoto hawakai chini kila
mtoto akae kwenye dawati,alivyoshusha
ada n.k Tusisahau kwenye kilimo
aliyoanzissha kilimo cha umwagiliaji
mpaka akataka kuleta Mvua ya
kutengenezawa mimi huwa nasema hata kama isingewezekana lakini
inaonyesha ile nia njema aliyonayo
mzee huyu.
Ukitaka kuelewa vizuri waulize wakulima
wakuhadithie jinsi alivyokua
anawatimua kazi na kuwashtaki watu waliokua wanakula hela za mbolea za
ruzuku. Jinsi alivyokua anatafuta
masoko ya nje ya mazao ya kilimo
waulize wafanyabiashara wakuhadithie.
Ni kiongozi nani mwenye hulka na
kariba hii ndani ya CCM? Tunajua wote kuwa mapinduzi ya kilimo na viwanda
ndiyo yaliendeleza bara la ulaya historia
inatuambia hivyo na elimu ndiyo
imeikomboa JAPAN na nchi nyingine
LOWASSA ni jenmbe katika hili ana
master plan ya mambo haya na anajua kusimamia haya sio siri wala kumpigia
debe HE IS REAL. 3.LOWASSA SIO MTU WA KUPOTEZA
UELEKEO (TO LOOSE FOCUS)
Lowassa siku zote akitaka kitu ni mpaka
kitimie na kikishindikana basi ujue
kumpata wa kukiweza ni shughuli pevu
na akitaka kitu hakati tamaa idimradi kiwe ni chema hata kama hakina
maslahi kwake na ikitokea yeyote
akasimama mbele yake kumzuia basi
ama zake ama za huyo mtu. wazungu
wanasema "You are either with me or
against me". Tunakumbuka jinzi alivyokua akitimua
viongozi waliokuwa wakitaka
kumkwamisha kwenye utekelezaji wa
shughuli za maendeleo. Hakujali urafiki
wala nini anakuweka ukimzingua
anakumwaga THAT IS THE TYPE OF THE PRESIDENT WE WANT kwa sifa hii hana
tofauti na Dr. Slaa japo Slaa huwa
wakati mwingine anapoteza uelekeo.
Mfano mzuri wa kutopoteza uelekeo ni
kwamba mwaka 1995 alitaka kuwa Rais
wakatoswa,2005 akakubali swahiba wake achukue lakini akabaki kuwa
focused, fitna zikajengwa akajiuzulu
2007 lakini hata sasa bado hajaloose
focus japo anaface a lot of challenges.
Sio mfano mzuri sana huo kutoa lakini
inaonyesha ni mtu wa namna gani kuwa siku akitaka vijana tukimaliza
vyuo tupate kazi maana yake
atalisimamia hilo by hooks or crooks
kama ni viwanda kufufuliwa vitafufuliwa
idimradi tu vijana tulambe ajira THAT IS
THE PRESIDENT WE WANT. A FOCUSED MAN 4.LOWASSA NI HALF
DICTATOR HALF DIPLOMATIC
Hahahahaha nianze kwa kucheka
maana tunajua hakuna nchi
iliyoendelea kwa kiongozi kuwa full
diplomatic yaani kitu kidogo "Tume iundwe" jambo dogo "NJOO MEZANI
TUONGEE" kitu kidogo "TUSUBIRI
UCHUNGUZI" jambo kidogo "DUNIA
ITATUELEWAJE". jamani tunamjua
LOwassa ni mtu wa action kwa kwenda
mbele Ghorofa limeanguka nani mkandarasi piga chini. Halmashauri
imekula hela za maendeleo nani
mkurugenzi piga chini.
Wizara inatokota nani muhusika piga
chini. Tunatatizo fulani solution ni nn
tekeleza.yaani hakuna longolongo.Hii ndio type ya uongozi itakayotukomboa
Tanzania.
Na ukitaka kujua faida yake waulize
wachina yaani watakwambia vizuri
udictator kidogo unavyoharakisha
maendeleo yao. Hakuna TANZANIA hii viongozi wa type hii mbali na LOWASSA
na Dr. SLAA tatizo SLAA ....(nitamuonge
lea wakati mwingine) 5.LOWASSA ANASIKILIZIKA,A
NAFUATILIA,SI KIGEUGEU NA SI MVIVU.
Hii ni sifa kubwa kwa mtu kuwa RAIS
unapoona unataka kuwa Rais au
unamchagua mtu ambae kwa haiba
yake tu hasikiliziki ujue unaturudisha nyuma.
Rais anatakiwa awe akisema hili
lifanyike huyo anaeambiwa linamuingia
moyoni. Nirudie Rais anatakiwa
anapoongea hata kwa simu tu ile pitch
ya sauti iashirie kuwa jambo hili ni lazima lifanyike.Yaani kama anaongea
mbele yako ukimwangalia kuanzia
nywele mpaka unyayo uashirie kuwa
kiongozi anataka hili lifanyike. LOWASSA yupo hivyo akisema jambo
linatekelezwa na haiishi hapo anafatilia
mwanzo mwisho si mvivu hata
kidogo.kutwa anaizunguka Tanzania hii
vijijini hadi mijini nyote ni mashahidi wa
hili. SIMAMA SASA NA UHESABIWE kuelekea safari ya
matumaini
 
Ahsante umejitahidi kuandika unachokifikiria na unavyomfahamu Lowasa,lakini kumbuka kuwa wapo wasomi wengine ndani ya CCM ambao wanamipango mizuri na pia wanaitekeleza kwa wakati.Chunguza CCM ya awamu ya 4 kisha utuambie kama ni kweli kuwa Lowasa ndiye aliyeonekana kuchapa kazi hadi kukubalika kwa Watanzania walio wengi ndani ya CCM na hata vyama pinzani.
 
1604587_258247577671262_2095380299_a.jpg
 
Duh! una akili kweli! Tukiwa na waTz wawili kama wewe rushwa yote itakwisha! Manake Lowassa ni tajiri anayekwenda anagawa mihela sasa hivi usiseme. Kikwete alipompa uWaziri Mkuu ghafla tu nchi ikaingia gizani na mara moja wakaja Richmond kukwamua nchi. Bwawa la Mtera lilpungua maji mwanaume akaenda Korea kununua mvua ya kutungua kwa risasi.

Sijui ilitokea nini Richmond ikajulikana ni kampuni ya mfukoni, yaani hata ofisi huko ilikodaiwa kutoka haina. Hivi kesi ya Gire Kisutu ilishakuwa msukule? Je mvua ya kutungua kwa bunduki, ebu fikiria Waziri Mkuu kusafiri mpaka mbali kwenda kusaka mvua kama hiyo, akiwa Rais lazima hatutakuwa na ukame, mgao wa umeme wala njaa (atatugawia mihela). Ni bahati mbaya alijiuzulu kabla hajatuletea yote hayo. Mkimpa msije mkaanza kuuliza kama hamna akili!

Mwenzetu NAAMINI kishabahatisha tayari kupata mshiko kutoka kwa Mheshimiwa wetu huyo mpaka amesahau kuwa mipango ya MEM na MES ilikuwa ya Joseph Mungai na Bujiku Sakila halafu ikadandiwa na Lowassa.

Mimi ningemfananisha Lowassa na Polisi anayekwenda kuvunja na kuiba usiku halafu anajirauka asubuhi mapema kwenda kuwapokea na kuwsikiliza walioibiwa na kuwafungulia RB.
 
Mbona Lowasa anafaa kuwa raisi wa Tz hahhaaaaa teh teh teh labda raisi wa Monduli.
 
Back
Top Bottom