Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
"Kimbakwiri" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mtu anayetumia nafasi,cheo au elimu yake kupata mali kwa njia isiyo halali.Mfano wewe ni mwanasheria wa serekali unasaini mkataba kwa niaba ya serekali lakini ndani ya mkataba unaweka maslahi yako binafsi na nk.
Fisadi ni msamiati unaotumiwa sana kuwaelezea watu wanaotumia madaraka kujipatia utajiri isivyo halali.Ningeomba tuache kutumia msamiati "fisadi' badala yake tutumie neno "kimbakwiri'
Mfano tunaweza kusema E Chenge ni kimbakwiri au Rostam Aziz na E Lowasa ni makimbakwiri.
Naomba kuwasilisha