Elections 2010 Lowasa sasa autaka Uspika

hivi unaota kwamba ccm siku moja itakuwa safi?
 
Namunga mkono kuliko Samwel Sitta mnafiki

Mnafiki ni wewe hapo, umelifanyia nini taifa hili? jiulize kwanza kabla ya kuita watu wengine wanafiki? ukituma trash humu ndio unaona umefanya kazi ya maana. Toa hoja sio kuita watu wanafiki.

Halafu nakushauri ujitoe kwenye JF mpaka utakapokua. UTOTO UNAKUSUMBUA:A S-baby: .........GROW UP
 
Na kweli tumwangukie Mungu atusaidie asiupate huo uspika tutalia na kuswaga meno,Mzee wa speed jaman mwacheni alichokifanya bunge lililopita kinatosha wakata kumnyang'anya card ya chama kisa aliachia uovu ukasemwa bungeni.Tusiwe tunasahau ccm wanakumbatia sana waovu na wale wazuri wanawakandamiza ile vibaya angalia sita alivyopata msuko suko hata jimboni kwake juzi.Watanzania tutafunguka lini yaliyotokea yanatosha sasa huyu bwana mamvi aje tena,duh!
 
Amakweli lisemwalo lipo? huu ulikuwa ni mpango wa siku nyingi, wakati ule CCm walipopanga kumtimua sita, ilikuwa achukue Upika Chenge au Lowasa
 
Bunge linalokuja siyo lile EL alilozoea kulitishia. Achukue tu fomu atajuta kwani kina Lisu watamtoa kama mfano wa mafisadi wa nchi. Hana mvuto wala hatuitaji fisadi katika nafasi yoyote katika nchi yetu. Huyo wa kujichekesha bado hajajua joto ya jiwe iliyo mbele yake. Anaenda kwa mazoea tu!
 
EL hafai, ni mwizi na anavyoonekana ataliburuza bunge.
 
Mimi naombea achukue na ashinde kwakuwa itakuwa advantage kwa chadema.Yataongezeka makundi na mpasuko utakuwa mkubwa zaidi ya huu,hurry up Lowasa nenda kachukue,ushinde na chadema tupige bao lingine.Kuwa na mtu kama yule kwenye uspika ni very good kwa WAPINZANI.(WAPINZANI=wapinzani wa lowasa ndani ya ccm+wapinzani wa ccm)ambao ni wengi kuliko kundi linalobaki ndani ya bunge.
 
Mimi naombea achukue na ashinde kwakuwa itakuwa advantage kwa chadema.Yataongezeka makundi na mpasuko utakuwa mkubwa zaidi ya huu,hurry up Lowasa nenda kachukue,ushinde na chadema tupige bao lingine.Kuwa na mtu kama yule kwenye uspika ni very good kwa WAPINZANI.(WAPINZANI=wapinzani wa lowasa ndani ya ccm+wapinzani wa ccm)ambao ni wengi kuliko kundi linalobaki ndani ya bunge.
 
hivi unaota kwamba ccm siku moja itakuwa safi?

Amini usi amin Mkullu,

We kaaa kimya usimwambie mtu iwe siri yako usiwastue watu wanao toka.
Kwani twajua wapi pa kuwachomolea

Kuna taarifa ya kuwa Edward Lowassa ameanza mikakati ya kuusaka Uspika wa Bunge la 10 la Jamhuri ya muungani wa Tanzania.
Ni kweli na ndo maana kamtanguliza Chenge ili kupoteza maboya na kisha Makamba akaongeza muda kwa kisingizio kuwa turn up hairidhishi. Cjui alitaka wangapi wagombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…