Mimi mwenyewe naona anaimba vibayaaa sauti kama chura
Nadhani mpaka sasa utakuwa ushajielewa we ni shabiki mandazi... Na ndio tatizo kubwa la wengi wanaounga mkono Ukawa, """wanamawazo ya kibinafsi"" yani unapopakubali wewe na mtu flani apakubali la sivyo unamuona kama hajielewi hivi na amekosea sana...
Unaweza kutazama hata wasanii wanapopost masuala ya kisiasa, ukipost upo Ccm wa ukawa wanaanza kushambulia matusi, LAKINI ukipost upo ukawa mashabiki wa CCM hakuna anaekushambulia na Matusi japokuwa wapo wengi wa kutosha tu!!!
Mkuu WCB ni Crew kubwa sana, na habari za diamond kutozipata ni kujifungia ndani kutwa nzima usiingie kwenye social media, maana kuanzia mtaani, magazetini, mitandaoni kila kona CHIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Nimekuacha kwanza nikidhani utaamka kutoka katika usingizi wako. Hii thread Nimeijibu kwa upana baada ya kusoma ulichopost na kile walichochangia wengine waliokuunga mkono kwa namna tofauti tofauti.
Ukitaka kujua kuwa thread yako ni dhaifu, hebu kamsikilize kwanza Roma Mkatoliki katika wimbo wake anavyoiponda serikali halafu uje utwambie ni kwanini hapondwi na hajapunguza mashabiki na ni kwanini hukuanza kumponda yeye kwanza kabla ya kuanzisha thread ya kumponda Diamond?
Huwa sikurupuki, uelewa wako mdogo!
mimi mwenyewe naona anaimba vibayaaa sauti kama chura
"By nyuli
"Mi nadhani Kama ungekua unajua kuwa ilikupasa hata Kama unafanya kazi za chama flani nadhani ilikua poa ungezifanya Kama kazi lakini kitendo cha kuanza kujihuaisha na ushabiki WA kisiasa kwa kuanza kuuponda upande flani WA siasa bila kujali hisia za mashabiki zako tena wale WA damu umekosea mkuu.
Hisia zako za kichama ungebaki nazo moyoni mwako;kumbuka wewe Ni star mkubwa hapa nchini epuka kutengeneza confront za kihisia za mashabiki zako.
Kama management. Yako haikuliona Hilo mi nadhani hakukuwa na ulazima WA wewe kuanza kukandia upande flani kwa kejeli.
Una haki kuwa na chama ukipendacho lakini ungetumia busara katika kuwasilisha hisia zako hizo mbele ya uma.
Ukweli umenikwaza naamini hata wengine walio Kama Mimi watakua wamekwazika poa!
Epuka kuwauwa mashabiki zako kwa sababu ambazo zinge!"
"By nyuli
My claims isn't general,I am talking about Diamond because I was his fan!
If I could be Roma's fan I might say the same way if he would say abashed words which I think they weren't necessary to be spoken! "
By uso wa nyoka
Its now that you are saying that you spoke Specifically targeting Diamond but if you refer to your main post which I have partially quoted above, what you wrote is contrary to what you are telling Me now because if you read the second and third paragraphs, you suggested that He (Diamond)as a super star (As any other super star) wasn't supposed to express his political views in a way that hurts his fans. But why shouldnt this apply to Roma Mkatoliki too? You talk about you been a former Diamond fan, Roma Mkatoliki has fans too and some are from other political groups, why aren`t we hearing them complaining? This is why I mentioned in My other post that, statements like this of yours can be interpreted as a form of effort aimed at at surpressing some artists`s freedom of political expression/choice. Because if fans of a certain artist who attacks the government everyday do not complain about the insults even when they belong to the party in power, why should fans of another artist praising the party in power and who belong to the opposition(fans) feel so hurt by the same kind of word content or even lesser in intensity from just another artist praising the government and speaking against the opposition?
I as an example am a good listener and viewer of many bongo artists`s work belonging to many of them(artists) some of who don`t even share my political view, but that doesn`t bother me at all, why is it so? Now, I find it a little bit absurd to read that someone is actually agitated just because an artist he likes, doesn`t share their political view, lets grow up people.
When our country accepted Democracy, it accepted freedom of speech which is in other words, a diversity in opinion,we can`t claim to believe in democracy if we still choose opinions on behalf of those around us. This doesn`t mean that we should agree on everything,having different perspectives and views is healthy to any society as it brings-in new ideas on how to improve ourselves as a society through sharing our differences. So because of that, its safe to say that, instead of attacking someone as a person, attack their views through constractive criticism, counter their political remarks by expressing your own political views and not by making matters too personal. Its weak.
You spoke about the immorality of Diamond giving out negative comments against the opposition, do that to other artists too because good morals apply to everyone and if you have good intentions and your aim was to correct artists who hurt their fans through their negative political remarks, you should have spoken against what other artists have been doing even before Diamond did because if it was about complaining, some of us would have started many threads many months ago, but we chose to tolerate and understand political views of those who do not share ours.But if Diamond attacked you personally, that would have been another case and you would have had every right to attack him personally too.
Kuna msanii nilikua namkubali balaa haya mambo ya siasa yamenifanya anitoke ka ushuzi wa ngomani yani siku zile tu ka post. I think ushabiki wangu kwake hautakuwa Sawa tena aisee. Mi humkubali MTU Mara elfu zaidi kama tuna share common interests. Kama hazi match ndo baaas tena
Wewe nilikupa offer ya kukupiga darasa la lugha ukakataa. Acha niwasaidie madogo. I never broken.
'I never broken'
Mfyuuuu!!!!
Sio kwa darsa hili.
wewe lazima ulipunguza kuwa fan wake miezi iepitaaaa maana katika mapambano ya kikazi aliyoyapata juzi juzi hapa zaidi ya miaka mingine yoyote sikunukuuuuu
haya weye nenda yeye tangu aongele chama cha sisiem ndio kwanza kaongea followers wamefika zaidi ya millioni 1
muombee azidi kupanda, kazini unaenda mwenzako asiende wa ajabu weye na kawivu kamo si shida tu
Embu tutajie show zake ulizohudhuria maishani mwako kama fan wa kuja kuandika maajabu yako humu?
pia unataka aje na yeye akuambie hiyo kazi unayoifanya haipendi umemuumiza roho umemtia aibu? pesa unaingiza yeye asiingize kalale mbeleeeeeeeeeee
hata kusema unaonea uchungu pesa zako za malaki au mamillioni ulizotoa kumuona akitumbuiza hauna neno haujawahi labda, show hata hiyo ya bure haukwenda kumuona wewe kweli sio fan wa damu unatafuta kiki tu na gazeti lako na uchungu wa kutojijenga mwenyewe kimaisha ka vile unachoshanikia kitakuinua siku kikishinda ukawa tofauti....unasahau maisha yataendelea kwa juhudi zako.
Hawa wasanii akili zao ndogo sn,hii serikali kila uchaguz unapofika wanawatumia km Big G,serikali hii ambayo inawakumbuka kwenye kampeni tu imeshindwa kutatua shida za wasanii km vile mauzo ya kazi zao,hati miliki,mikataba na stahiki zngine..,hata km ni maslahi wanapata ni kidogo ukilinganisha pale ambapo wizi wa kazi ungekomeshwa,hatimiliki zingezngatiwa.....hawa ndio malofa na wapumbavu
Tunashukuru sana mashabiki vitumbua mkijichuja wenyewe.....
Hata kama ningekuwa naichukia CCM vipi siwezi kumchukia Diamond kisa anaipenda CCM...
Logic yenu watu kama nyie ambayo nadiriki kusema ni ya kipuuzi mnamaanisha Kama wewe ni vegeterian(hauli nyama) ukija kumuona Diamond kapost picha instagram anakula Nyama eti utakasirika kwanini Diamond anapost picha anakula nyama wakati anajua ana fan-base wakiwemo ambao hawali nyama kama wewe....
#ondoka #kamshabikiekhadijakopa wapo wasanii wengi tu
huyo diamond wako kashachuja,,sasa hivi anapiga show za bure kwenye kampeni...hakuna atakaetoa hata buku kwenye show zake