Lowassa amuonya Uhuru Kenyatta

Mzee anabusara sana, na anaheshima sana. Na biblia inasema mvi ni heshima.
 
Hiyo nayo ni mbinu, wangemzuia basi.
 
Mkuu hata Uhuru na Odinga ni marafiki
Sio kama wale ambao eti mkiwa tofauti kisiasa hutaki wenzako wamuone mgonjwa au aliye jela kwa vile ana msimamo tofauti wa kisiasa.
Hizo ni mentality za kichawi kabisa
 
Hiyo nayo ni mbinu, wangemzuia basi.
Wakenya hawashindwi basi tu odinga anataka amani lasihivyo akiamua kukinukisha wakikuyu wote watahama nchi maana luo + luhya + kamba = mwisho wa kikuyu dynasty
 
safari hii Ruto na uhuru watawaua wakenya wote ili wao waendele kuwa pale ikulu roho mbaya sana hawa watu
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lowassa amempa angalizo rafiki yake Kenyata juu ya nguvu wanayokuwa nayo wapinzani pindi wanapoungana, akitolea mfano wa UKAWA.Source gazeti la Mwananchi
UKAWA na NASA wapi na wapi? Muungano wa NASA ni makabila yaliyoshindwa ubunge uchaguzi uliopita na wanasubiri kushinda ila UKAWA walishinda wakadhulumiwa.

UKAWA na NASA wapi na wapi? Ni kama walinganisha maboga na mlenda!
 
mkuu sipingani na wewe ila naomba niku chalange kidogo.
Ruto gavernor amejiunga na Nasa na juzi kasema nakuja na mtaji wa kura million moja, let's say Kaja na kura laki tano, hiyo bado itakuwa faida kwa NASA. Rift valley imegawanyika hawata vote as a block simply because Mtoto wa moi nae yupo pale, though amesha weka wazi kwamba chama chake kitafanya kazi na uhuru.
Serikali ya jubilee ina kashfa nyingi Sana, kuanzia mamilioni ya NYS hadi standard gauge, reffer to the latest news, bei ya unga imepanda mkate nk.
Waluya siku zote sio wana jubelee, wamekuwa royal to odinga family, Na hata juz wamerizika na Formation ya NASA ukizingatia mudavadi ndie akikuja na idea ya NASA.
Ukambani kwa wakina kalonzo wapo NASA though kuna washiriki wake wamepoteza kwenye pliminaries ndio wakahamia kwa uhuru, wengine wapo kwa govener mtua ambae nae hana influes sana ukambani.
Mombasa yaani coast ndio usiseme wanamuamini na wapo bega kwa bega na governor 001 yaaani Governor Joho,
To make it short uhuru anaweza akashinda lakini Kwa kuiba Kira, natabiri round two, au machafuko tena Kenya,though am not a prophet of doom.
Mwisho, kama NASA watachanga karata zao vizuri kwa kweli uhuru ana wakati mgumu.
 

rift valley inajua baada ya miaka 10 ya uhuru kenyatta mgombea anayefuata kwa tiketi ya jubilee ni mgombea wao william ruto. na hakuna mategemeo yoyote isack ruto atakuja kupewa nafasi ya kugombea urais huko nasa. haina haja ya kuumiza kichwa kujua karibia kura zote za rift valley zinaenda jubilee. wakamba nao wamefula kwelikweli wamesema nao watamwaga ugali make kwa maelewano ya 2012 na raila kipindi wanaunda cord hii ilikuwa zamu ya kalonzo (wakamba) na sasa wamesalitiwa. jubilee itashinda kwa kishindo kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…