Uchaguzi 2020 Lowassa anajipanga mbio za Urais 2020

MZEEE BADO YUKO FITI KABISA HATA PESA ZAKE BADO HAZIJARUDI LAZIMA ARUDI ULINGONI
 

Raisi ajaye wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Ndugu yetu TUNDU A LISSU.
 
Lowassa kama twiga anaona mbali hakurupuki siasa anaijua tena siasa ambayo haina matusi. Lowassa na Membe wakiungana kutakuwa na mafuriko mengine makubwa kampeni zitanoga na machungu ya uchumi kudorora tutasahau kwa muda.
Hakika simba mwendapole
 
CCM ya sasa haitegemei kabisa sanduku la kura .... chaguzi za marudio zilikuwa ni rehearsal ya uchaguzi wa 2020!!

Watanzania tujiandae tu kisaikologia!!
 
Membe mnamtaka
Lissu mnamtaka
Lowasa mnamtaka
Zitto mnamtaka
Rais wenu nani hapo? maana mnapoteana.
Halafu tumia akili ewe mwanamke, huwezi ukawa timamu halafu ukasema ccm wamelala, labda nikwambie tu ccm wamejiandaa kwa uchaguzi wa 2020 tangu 2016 na maandalizi ni makubwa kuliko zama zote zilizopita.
Kataa unyumbu.
 
Simtaki lowasa ni sitompigia kura tena. Yan afie uko mbali. Yan tuanfaike kupiga kura ,ziibiwe alfu akae kimya kisa et ni siasa safi. Peleka uko. Tunamtaka lisu.
 
Tuache kujindanganya eti CCM itatoka madarakani kwa hakuna time huru ya uchaguzi ule mswada wa vyama vya siasa ukipata Upinzani unafwekelewa Mbali kabisaa
 
Duh! Nini kimekusukuma mkuu kuandika hivi?
Kwani ulikuwa wapi 2015 ya kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huo? Celina Kombani (rip) aliwashangaa sana Ukawa kusimamisha ENL ilhali ni mgonjwa! Akamalizia kuwa walitaka kutuingiza katika msiba wa kitaifa makusudi. Kumbe mgonjwa kapona kafa daktari. Hata Mtikila aliyesapoti kwa bidii juu ya kifo cha ENL, kalala yeye. Naona Marengo kakumbuka hizo kufuru! Na Lowassa anazidi kupendeza na kupendwa hata adui zake. Sifa kedekede kutoka kwa Magu. Kila akipata nafasi anamwalika. Kasuku Makonda kazikariri sifa za Lowassa kaziporomosha. Bashiru kaona asibaki nyuma. Katamka bayana kuwa Lowassa kwa hekima wanaccm waige hapo. Mtikila(rip) angefufuka asingeamini macho yake. Marengo anawaza tu. Ruksa lakini siku mojamoja.
 
Na ww tunakutaka unasemaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…